Simba inabidi umakini uongezeke mechi ya leo ni yakuvuna magoli
Watapigwa Katelero Leo!
Mkuu mchezaji mzuri hachagui nchi atokayo, Abdallah Juma aliwahi kuwa mfungaji bora mara mbili mfululizo na anatokea kwa wala urojo, tulitarajia atokee Kigoma, Mbeya, Mwanza au Morogoro.Straika bora East & Central Africa atoke Burundi! Umemeza SP au mseto? Inaonekana una malaria.
Mkuu mchezaji mzuri hachagui nchi atokayo, Abdallah Juma aliwahi kuwa mfungaji bora mara mbili mfululizo na anatokea kwa wala urojo, tulitarajia atokee Kigoma, Mbeya, Mwanza au Morogoro.
Mpira bado haujaisha, ndio kwanza HT
Mpola na kipa...Dhaira anadaka
Dhaira ???
Yule jamaa sijui aliishia wapi, kipindi hicho ilikuwa ni Mtibwa ni kweli kweli.Hivi lile bonge Abdallah Juma alipotelea wapi?
Alikuwa mbaya sana Mzenji yule
Tbccm chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,Mzigo umeamia chana reli 10.!!!!!!!