Live Update: Mapinduzi Cup 8/01/2015

Live Update: Mapinduzi Cup 8/01/2015

jerry wa kupakatwa?
Freeland utabiri wako kiboko. Nilidhan unatania kumbe kweli yametimia. Ndala wanabid tu wapande boat kurudi kwa Mzizima pale Twiga street kwenye matete yale ya Bonde la Mto Msimbazi aka Jangwani. Poleni sana watani. Muliambiwa kuwa mulikuwa kundi la vibonde mukabisha! Yuko wapi Jerry Muro afisa habari wa Yanga maana nae ni kama yule waziri wa habari enzi za utawala wa hayati.Saddam Husein! Kwa propaganda anatisha. JERRY anakuambia kwa sasa habari ya Mujini Goli 4-0 kila.mechi. Leo wameshindwa hata goli moja. Poleni Watani, leo utasikia lugha za kujifariji nyingi tu. Wazee wa media hawa!
 
Mkuu Makoye Matale, mkolaj na wana Yanga wote poleni, ila ni bonanza haliumi sana. Acha tujifariji.

Masuke na wana simba wenzako hongereni sana, kila la kheri simba, japo najua hamchukui kombe safari hii laweza baki Zanzibar, halitavuka bahari.
Nawatakia usiku mwema.

pole sana..
 
Last edited by a moderator:
tumelala unono

Ni kweli mmelala unono maana Yanga ilikuwa tishio kwenu. Hata hivyo mvua huwa haikimbiwa itakupata tu, tutakutana kwenye ligi tumalizie hasira zetu kwenu, kwa kuanza tunaelekea Mbeya kufanya mauaji ya halaiki.
 
Mdomo ungekuwa unashinda vita basi madai yako yangefikirika. Umegeuka waziri wa mambo ya nje wa Irak (Al sahaf )enzi za Saddam.
 
Ni kweli kabisa. Si bado kaswekwa ndani. Labda ndio mganga wao yule. Sasa heshima itarudi maana walizidi sana hawa kwa kuzifunga zile timu za daraja la pili.
Ova

Tumefungwa tu, ni hali ya mchezo.

Mimi nilianza kuona dalili baada ya Polisi kuing'oa KCCA. I presume Simba au Mtibwa au wote wawili (w)atacheza mechi ya kutafuta mshindi wa 3. Siwatakii mabaya nataka mchue tahadhari maana Wazanzibar wamechoka kuwa kichwa cha mwendawazimu. Sasa hivi mnaonekana kama vile mmechukua kombe, mnashangilia tu badala ya kujiandaa a mechi. Kajiandaeni kesho mna mechi ngumu sana.

Huyo jamaa alilala lupango night moja tu, siku iliyofuata aliingia mtaani na alionekana akila nchi kama alivyonaswa na kamera za wadau, kong'oli hapa:

KOCHA WA YANGA NA MPISHI WA BAO LA COUTINHO JUZI - BIN ZUBEIRY
 
Aliyekimbia mvua ama kwa hiyari ama kwa kulazimishwa anajulikana na aliyebakia kama mwanaume anajulikana .
 
Ahsante everlenk long time, toka world cup miss u.

Aisee siku mingi sana miss you too, mimi huku nipo mmeniacha mwenywe hasa ligi hii ya EPL napatikana sana kwenye uzi wa Man U pia maramoja moja kwa watani Arsenal,Chelsea na Liverpool,karibu bana tuendeleze soka..
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mmelala unono maana Yanga ilikuwa tishio kwenu. Hata hivyo mvua huwa haikimbiwa itakupata tu, tutakutana kwenye ligi tumalizie hasira zetu kwenu, kwa kuanza tunaelekea Mbeya kufanya mauaji ya halaiki.
nyie mna maneno kama mmemeza kanda za wahenga
 
naamini majibu yote unayo
Tumefungwa tu, ni hali ya mchezo.

Mimi nilianza kuona dalili baada ya Polisi kuing'oa KCCA. I presume Simba au Mtibwa au wote wawili (w)atacheza mechi ya kutafuta mshindi wa 3. Siwatakii mabaya nataka mchue tahadhari maana Wazanzibar wamechoka kuwa kichwa cha mwendawazimu. Sasa hivi mnaonekana kama vile mmechukua kombe, mnashangilia tu badala ya kujiandaa a mechi. Kajiandaeni kesho mna mechi ngumu sana.

Huyo jamaa alilala lupango night moja tu, siku iliyofuata aliingia mtaani na alionekana akila nchi kama alivyonaswa na kamera za wadau, kong'oli hapa:

KOCHA WA YANGA NA MPISHI WA BAO LA COUTINHO JUZI - BIN ZUBEIRY
 
Yanga haijawahi kuwa tishio kwetu, ukivuta kumbukumbu ya mtani jembe 2013 utanambia vizuri

Back
Top Bottom