Hizi siku mbili zimekuwa ni full burudani, jana mkalala mapema mkatuacha tunapiga stori jamvini na leo inavyoonekana mtalala mapema mtuache tuzidi kupeana soga na ujuzi wa kuchukua taji.
Kwa kweli wametia aibu, unaingia robo fainali hujaruhusu goli hata moja huku ukiwa na ushindi wa 100% halafu matokeo yake unachapwa na timu ambayo iliingia kama best loser.mji utakua shwari., walianza na 4+4+1 mwisho (-1)
sio mwana spoti tu hata huu uzi umedoda
Mwanaspoti wapuuzi kweli, jana Mnyama kamkalisha mtu nne hawajaandika utafikiri hakuna chochote kilichotokea.
Nimeamini hata Simba akiloana usimdharau.
ingekua ni burudani ya kuukaribisha 2015Ni jambo la kusikitisha kuwa Simba kaikosa hii raha kwenye fainali
View attachment 217089