Live Update: Mapinduzi Cup 8/01/2015

Live Update: Mapinduzi Cup 8/01/2015

TAMBWE.jpg
 
Wadau naombe ratiba ya semi final Leo mapinduzi cup kati ya simba vs POLISI Zanzibar na jku vs mtibwa mechi gani inaanza na NI SAA ngap?
 
waache utawaumiza, sasa tunamtangaza rasmi Makoye Matale kama msemaji wa SImba kwa mechi zilizosalia

Nimekataa, sitaki kabisa, tena ukome kabisa kunisakizia zari kama hili. Sijawahi na kamwe siwezi kuwa msemaji wa hilo litimu lenu.
 
Wadau naombe ratiba ya semi final Leo mapinduzi cup kati ya simba vs POLISI Zanzibar na jku vs mtibwa mechi gani inaanza na NI SAA ngap?

Mechi zote zinachezwa leo 10/01/2015.
Simba v Polisi saa 10:00 jioni.
Mtibwa v JKU saa 2:15 usiku.
 
Nimekataa, sitaki kabisa, tena ukome kabisa kunisakizia zari kama hili. Sijawahi na kamwe siwezi kuwa msemaji wa hilo litimu lenu.
naanza kuweka kumbukumbu ya nyuzi utakazokuwa msemaji
 
"Kama unadhani kati ya hao kuna atakayeizuia Yanga umekosea. Ni suala la muda tu na kukamilisha ratiba ili kuitimiza haki yote,kombe la bonanza ni letu YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB.Wengine wote ni kenge tu waliojiingiza katika msafara wa mamba ".
Sijui kenge yupi aliyeandika huu ujinga.If just if wishes were horses ...........
 
Back
Top Bottom