Live Update: Mapinduzi Cup 8/01/2015

Live Update: Mapinduzi Cup 8/01/2015

Full Time JKU - 1 Yanga -0.

Yanga OUT.
Tumepigana tulivyoweza, Ahsante Yanga kwa kushiriki BONANZA.

Pole mtani, ndo uwezo ulipoishia, haya ni majibu tosha kwa nini mlikuwa hamtaki kushiriki haya mashindano.
 
Pole mtani, ndo uwezo ulipoishia, haya ni majibu tosha kwa nini mlikuwa hamtaki kushiriki haya mashindano.

Ahsantee mtani, ndio mpira matokeo ni matatu kushinda, kufungwa na sare.
Naipenda Yanga. Tunarudi VPL
 
Pole mtani, ndo uwezo ulipoishia, haya ni majibu tosha kwa nini mlikuwa hamtaki kushiriki haya mashindano.

Tunawatakia kila la heri. Tumejitahidi sanaa, tumefungwa kwa taabu sana; bahati haikuwa yetu. Tunashukuru Polisi kutoka kundi letu wamefuzu. Sasa sisi hatuna presha tena tutakuwa watazamaji huru.
 
Tunawatakia kila la heri. Tumejitahidi sanaa, tumefungwa kwa taabu sana; bahati haikuwa yetu. Tunashukuru Polisi kutoka kundi letu wamefuzu. Sasa sisi hatuna presha tena tutakuwa watazamaji huru.

Asante mkuu.
 
Kweli hata mimi nakubali mmebana lakini wakaingiza kimoja kinguvunguvu. Kimeuma poleni sana.
 
Yanga wanachapwa kama ccm walivyochapwa. Ccm ikiga na yanga inakufa labda ije kufufuliwa baadae

Mpira na siasa wapi na wapi? Kwa taarifa yako Mhe. Rage ni Simba halafu CCM, Mhe. Mbowe ni Yanga halafu CHADEMA, hoja yako iko wapi sasa?
 
Hahahaaa Yanga bwana! Utadhani ni timu ya kijiji. Wapigwe tu, tumechoka!
Ova
 
Mkuu Makoye Matale, mkolaj na wana Yanga wote poleni, ila ni bonanza haliumi sana. Acha tujifariji.

Masuke na wana simba wenzako hongereni sana, kila la kheri simba, japo najua hamchukui kombe safari hii laweza baki Zanzibar, halitavuka bahari.
Nawatakia usiku mwema.
 
Last edited by a moderator:
nilikua safarini ndiyo naingia
 
Mkuu MAKOLE Matale, mkolaj na wana Yanga wote poleni, ila ni bonanza haliumi sana. Acha tujifariji.

Masuke na wana simba wenzako hongereni sana, kila la kheri simba, japo najua hamchukui kombe safari hii laweza baki Zanzibar, halitavuka bahari.
Nawatakia usiku mwema.

hamuishiwi maneno nyie
 
Back
Top Bottom