Yanga walisahau kutuma mtu wa kutoa madude golini?
kwani Shaymar, Msuva na Tambwe hawakuheza?
Bakia mtazamaji wacha wanaume waliobakia wapambane wewe kigoli rudi Dar ukacheze kigodoro ndio saizi yako.Lakini usijali ni Bonanza. Haa Haa Haaa
siku hizi ngassa kama panya road tu, tena akirudi asikatize manzese atakamatwaHadi ngassa na Coutinho walikuwa ndani! Yaani hii ndo ilikuwa first eleven ya yanga. Sisi walitubania ila tulikandamiza mpaka wakaachia. Ndala wamegeuziwa kibao.