Live Update: Mapinduzi Cup 8/01/2015

Live Update: Mapinduzi Cup 8/01/2015

Hapo Masuke na Amavubi pamoja na mikia yote wanachekelea mioyoni.

Mimi sichekelei kihivyo maana tunawataka sana ili tujiongezee utukufu kwa kuwafunga nyie, tulitaka mioyo yenu iwe migumu kama ilivyokuwa kwa Farao ili siku tukikutana tuwaonyeshe kazi na kujiongezee utukufu lakini sasa mnaelekea kuwa laini laini sana.
 
Looh! Mkuu mmetukamia hivyo, basi iliwezekana kikombe hiki kituepuke! Tukutane kwenye ligi.
 
Tulikuwa tunajiandaa na VPL nadhani mazoezi yamekwenda vizuri na mwalimu amepata kikosi cha kwanza cha VPL na Shirikisho
 
Huyu Msuva arudi nyumbani ulipo moyo wake, yanga anajiharibu tu.
 
Poleni sana watani, sisi tuliwapenda ila JKU kawapenda zaidi. Jana wakati kama huu tulishamkalisha mtu nne bila.
 
Hii game imenikumbusha game ya Chelsea vs B.Munich fainali UEFA.
 
Back
Top Bottom