Jamani mapenzi na polisi wapi na wapi? Tangu siku nyingi nimekuzimia, nilikuwa nasubiri katiba tu iidhinishwe mke mmoja kuolelewa na wanaume wawili kama India nli nifanye mambo yangu.
Yaani ukimwambia mzazi hakatai, mimi sitoki tena nakusubiri, naona kama masaa hayaendi. Natafuta pose la kukaa na wewe, halafu kioo leo nakitembelea mala kwa mala.
Andaa CD za movie tu aangalie, hutaweza kugegeda maana babu amesema ameshachukua dafu kubwa analifanyia kazi bila hata kilifua, mgegedo utakuwa kama nusu sigara mzigo kama dafu, hugegedi wewe andaa movie tu aangalie.