Hii imeshafika mbali ngoja tukianza picha lingine ntakuita ushuhudie.
Hapa unatakiwa kutafuta umpendae usije ukabaki nyuma mwaka mpya huu wa malovidavi

Yaani nakuahidi nitakujari mpaka utamsahau! Ukipiga chafya tu nakupeleka South Africa kutibiwa, ukikohoa tu India, ukinuna tu namleta Mr. Bean akuchekeshe.