Waoh! pole na majukumu mama I was waiting you pale miembeni afadhali umekuja sauti yako tu mpaka nahisi kaubaridi kwa moyo oooh baby come on uutulize mtima wangu unao tapatapa juu yako
wewe daudi1 kama sina maneno matamu nilimpataje huyu girl wangu?
Hivi hujui kuwa 'Valentina'. Ndiyo mdada mwenye uzuri wa pekee?
she is the most beautiful girl in this country.
Aaaah! hapo itakuwa ngumu wife walo mwenyewe anashoboka ndo maana nimekuambia umtulize watakuja fisi maji watambeba halaf watakupiga bao na kwenda kupeleka mahari kwa baba yake inaonyesh unajivuta sana
wewe daudi1 kama sina maneno matamu nilimpataje huyu girl wangu?
Hivi hujui kuwa 'Valentina'. Ndiyo mdada mwenye uzuri wa pekee?
she is the most beautiful girl in this country.
Labda ulikuwa analogy kama una maneno matamu si umesikia mwenyewe akisema alianza kulainika pale kwenye mwembe inamaana ningekuwa siriasi ungekuta manyoya tu