sijui wanaamuita nani nimeona hapo juu,mke wa mtu sumu ndugu yangu kwani kiota ulichotengenezewa hakikutoshi mpaka unataka na mimi nikutengenezee wakat kuna wenzako hawana kabisa

Jamani mbona unanitega ujue wewe ni mke wa mtu et! tukifumaniwa ujue mimi ndo nitapondwa mawe naogopa mtoto wa watu halafu kuanza kuishi vibaya na majirani kisa wewe jamani..... kwani unakosa nini kwake mpaka unanitaka na mimi?