Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
wow.upo single jaman me nasubiria jbu kwa Price akinikataa ntaomba niwe wako
hehehe......
nikipajua nakuumiza......mkuu angalie usije tangaza nilipotangaza mm
Khaaa unataka wangapi kwani?
nikipajua nakuumiza......
Uwa ndege wawili kwa jiwe moja we tupa mawe kwa wote shauri zako chelewa chelewa utakuta mwana si wako
zubedayo_mchuzi kimbiia mechi unabahati lungekuwa umelazwa sasa hivi
shemeji yenu yupo pouwa kabisa ni mzima wa afya sema yupo bussy na majukumu si unjua me sikubaliani na mapenzi na njaa rafikiMimi nilikuulizia tu, na rafiki yetu yule shemeji wetu yuko wapi?
Hujaniota?