Mwanadada mwenye mapenzi ya kweli na aliye umizwa na mpenzi wake na kuachana nae haja pata mtu anitafute ila asiwe bonge wala mwembamba sana nimekaa nje ya mapenzi mda wa miaka miwili bila mpenzi sasa narudi ila awe mzuri hata nikitoka nae nisije kuona aibu karibu