sijaelewa nini shida kaka, mimi huwa lazima nimuone sweetlove
miss neddy kila ninapo log in, sasa nashangaa kuona status banned, kufuatilia quotes naona kuna post kama 20 zimefutwa.. i think kuna majibizano yaliyovunja sheria za JF... namsubiri kwa hamu aje..