Yupi huyo?? The last time I checked ulinambia upo singo, imekuaje tena? Halafu nimemchokozaje huyo nanihii, wakati kwenye post zangu nakutaja wewe Tu, my dearest! Soap of my heart!

Mhh khantwe, this must be him and not you the dearest one I know, itakua kachungulia password yako kalogin anajibizana na Mimi, maana huwa humsifii namna hii tukiwa pamoja, anyway I await for my real khantwe to come back in her senses