Nakupenda wewe mwanaume mpaka naumwa. Raha unipazo miye ndio zinanifanya niwe na furaha muda wote.
Upendo wako, kujali kwako, upole na thamani unipayo hakuna awezaye fanya uyafanyayo, nitakupenda siku zote no matter what honey. Hope jana umeifurahia na kuipenda gift niliyokupa.
CC:
sungura1980