Mwenyekiti wa tume huru Lady doctor tunakuomba uje utoe report ya uchunguzi na maoni kusudi huyu bint Valentina arudi kwa mumewe. Maana mumewe uran nilipita Leo kumsalimia nimekuta chupa kama nane za John Walker tupu uvunguni, atakuwa halali anakunywa tu! Atachanganyikiwa.