Jirani hatuonani, za weekend. Sasa mimi naona shemeji yetu uran kajiunza.
Shost yetu Valentina amsamehe na arudi kwenye ndoa yake.
Ndoa ni uvumilivu sana, kuna milima, mabonde na tambarare. Uran anampenda sana.
na utulie utampa magonjwa ya moyo mwenzio natumai umejifunza next time yakirudia haya tutaunda tume yakuwatenganisha vinginevyo msuluhishe mambo yenu chumbani

Hahahaaaaa,,mapenzi bwana! uran unasema,kwa kuwa mwenzio anaendesha wewe sasa ni automatic!Mapenzi bwana,mwenzio hata akijamba utasikia,"Pole honey,hujaumia kweli"
Tunamshukuru Mungu kwa kutuamsha salama,na leo ilivyo sikukuu,nakuomba shansarie umrudishe na kumkabidhi Valentina kwa mumewe,wakati tukisubiria tamko la Mwenyekiti.Hii baridi hii na mvua hizi uran anateseka kwa kweli!

Usifike huko anaweza kuja na maamuzi ya ajabu akaharibu na tume ikavunjika, tunatumia gharama kubwa sana! Naomba uvumilivu wako! Angalia cartoon na chukua wine unywe niko njiani nakuja.