Ahaa! Kumbe hakukushika kabisa!?
Kwa sababu target si ilikuwa mbaya na nadhani alikuwa anataka utamu in a simple way.
Swali jingine..
Hakukupa pesa yoyote?.. tume itakuwa inapitia na majibu yako unayoyatoa hapa ili kusaidia katika upelelezi.
Ndiyo mimi! Nakosa confidence kukuhoji kama mjumbe! Kazi ya kukuhoji nitamuachia Lady doctor na Kibo10 mimi nitashughurikia TCRA na kumhoji uran tu otherwise utanishawishi tu.