Nachukua nafasi hii kukushukuru kwa kunipenda kwa dhati my hubby Sungura1980.
Najua kiasi gani unanipenda, unanijali muda wote unajitolea kwaajili yangu.
Umekuwa mwema kwangu, sijaona tofauti toka siku ya kwanza mpaka leo.
Umekuwa unaongeza mapenzi kila kukicha, hahahaa punguza tu wivu, mimi ni wako peke yako.
Nakupenda kwa vyovyote vile, hapo ndio nimefika, nakupenda sana.