Usijali wewe niachie sungura1980 mimi nitammudu vema tu jiandae tu kisaikolojia maana nikija leo wallah unahamia mazima full fundi na nitajitahidi leoleo nikakununulie gari ya kutembelea naona jamaa kakutesa mda mrefu sana na wewe unathamani ya jet kabisa
Honey nilitaka kujua uwezo wake wa kutongoza tu, nakupenda wewe.
Anajaribu kuongea maneno mabaya n ya uongo ili ukasirike uniache.
Nakupenda ukiniacha nitakufa hubby wangu.
Yaani mimi ni mahaba niue full