yule wa mapinduzi anaitwa Erickb52, mke wake ni Chocs, afu kuna rais huyu anaitwa Arushaone na mke wake ni Lady doctor hawa wote ni ma leader + yule wa kudumu Baba V
mambo yakiwa ndani ya boksi kiwatengu lazma apewe taarifa
yaani nakwambia hivi Excel lazima nibadili historia ya my bebio Exceptional kuwa Gold member wacha niuze madafu yangu coco beach patatosha tu hapa kitu J.lee and Exceptional.