Kweli ng'ombe wa masikini hazai duh. Rich Pol best kulikoni tena mbona kama sielewi hapa kinachoendelea.
Tuliza akili tuna mechi leo huko Cairo, nguvu zote tuelekeze huko.
Kama Honey Faith mwenyewe akikiri ana mume, basi hiyo kazi niachie mimi nitakutafutia mke.
CC: Rich Pol, Daudi1, Honey Faith.