Okay pole sana, tafuta energy drink hapo uchangamke. Shemeji yangu anakupenda sana hafanyi kitu chochote, kwanza amefurahi kusaidiwa. Mimi mwenyewe sitaki hii ndoa ivunjike kabisa, nawapenda sana.
shansarie goodmorning! Bantulady umeamkaje mpenda sis? naona unatabasam meno selasin na nje yote mbili! lol! charty! hmm! zako zimefika 35! utakuja uvunjwe hizo steki zinazokufanya uangaliwe! we ngoja!