aliyekwambia nanii mie ni wa njia kuu nanii?ebu punguza puresha haibiii!ila mie ndo naiba ndo maana nkakuuliza mkeo yuko macho? afu siyo utanichanganya! hapa tutachanganyana! sawa eh!ok nipe uhakika wa usalama wangu maana naogopa kumwagiwa tindikali heheee:love: