Hiyo ni kazi kubwa bora ungeniambia some traits naweza zisoma kupitia post na comments zako japo pia sio determinant ...but wanasema kimtokacho mtu ndicho kilichojaza moyo wake rty?
Ooh how am I suppose to.live without him...kesho nawasms mods wamtoe kwwnye hicho kifungo japo ckuamini sana naamini atakuwa kalala now coz kazi za shamba zinachosha.
Ooh how am I suppose to.live without him...kesho wanasms mods wamtoe kwwnye hicho kifungo japo ckuamini sana naamini atakuwa kalala now coz kazi.za shamba zinachosha.
hahaaaa ucangalie join date tu watu tushakomaa..najua best sema natumia simu kwenda kwenye touch kila saa ni kazi nyingine but pokea like zangu nyingi za kutoshaaaaaa.usiku mwema
kwani wasiwasi wako nini? hakuna foleni wala nini tena kwa taarifa yako, i'm the only man who is straight foward in this house,
so hebu ikifika jioni usogee karibu zaidi yangu uone utamu.
ina maana hujui? parokia naona inazidi kuwa kivvutio cha warembo bana! rosita kasema etiii... bila Eiyer, hawezi ishi na yuko ready kuwa sister! eenh!:A S 13: