akhaa kuwa na mtu kama ww,ni sawa na kua na ATM ya nmb foleni za misururu ya wanawake kawaida! mie bado mdogo stakii stress za kupangwa hahaa! Roger that!

kwani wasiwasi wako nini? hakuna foleni wala nini tena kwa taarifa yako, i'm the only man who is straight foward in this house,
so hebu ikifika jioni usogee karibu zaidi yangu uone utamu.
Hivi nani anayetaka kumtafutia mke Rich pol? Huyo na Daudi1 ni misukule yetu mimi na Valentina. Tunawarudisha kwenye chupa hatuwatoi.
Excel na kiwatengu hamuoni kwanini siku zote hizi hawapati?
Hatoki mtu hapa.

Excel kaka yangu undugu utaisha unajua. Sisi tunajua kazi yao humu ndani.
Valentina my luv majenereta yanaondoka, kuna mpambe nuksi kaingilia kati huku inabidi tudili naye.
kwani wasiwasi wako nini? hakuna foleni wala nini tena kwa taarifa yako, i'm the only man who is straight foward in this house,
so hebu ikifika jioni usogee karibu zaidi yangu uone utamu.
Hivi nani anayetaka kumtafutia mke Rich pol? Huyo na Daudi1 ni misukule yetu mimi na Valentina. Tunawarudisha kwenye chupa hatuwatoi.
Excel na kiwatengu hamuoni kwanini siku zote hizi hawapati?
Hatoki mtu hapa.
Dah! mimi nishapata sijui huyo msukule wako,valentina anatamani kutoka kwenye ndoa yake kwa mapenzi niliyompa siku moja kachanganyikiwa yaani hajielewi mara ananitaka mimi mara uran