safi sana mkuu fanya neema kwa wengine
mi namtafuta charty..nahisi huyu atakuwa anategemea computer za internet cafe.
ngoja nifanye mpango apate laptop yake mwenyewe
ili kila nitakapomwitaji hapa awepo..

afu wee kibabu tulia na huyo mkeo DEMBA! usiniletee miye shida nan anataka akatwe viwembe usawa huu!!! mwanamke sura makalio hata baba mkwe anayo!heheee:smile-big: