Hata nimfumanie kitandani simuachi ng'o. Nimeshafika kwake, yaani nahisi ni chizi kabisa wa penzi lake. Hizo fitina tu, ungejua mume wangu navyomuamini ninakaa na simu zake zote sijawahi ona hata mwanamke kubeep.
Hata hapa nina password yake sasa kwanini nisijiamini. Kwanza mume wangu hanywi.