Nikiwa na wewe wala sita Zima simu yangu au kuiacha silent! Nitakupa na password zote, utakuwa na access zote za kwangu, ila Nina wivu sana japo siwezi kuthubutu hata kukupiga kofi.
Wow wewe ndio mzuri sasa. Inabidi sifa za ziada unipm okay bebito.
Nakupenda sana yaani nakuahidi nitakutoa machozi ila siyo ya huzuni bali ya furaha, welcome to my world.
Ila sasa ukumbuke nimeolewa atii. mmmh sasa sijui itakuaje?
Hivyo hivyo tu, tutajua mbele ila nitakulinda, sita kupigia simu ukiwa nae kwani akikupiga nitashindwa kuvumilia honey, haya utani save vipi ktk simu yako?
Nimeolewa humu ujue. Ana wivu mume wangu, naye ananipenda sasa nani zaidi ndio hapo.
Najua ila namimi ndiyo nishakupenda hivyo, sitakuacha peke yako mpaka muda kama huu, tutakuwa kama mapacha, plz nipe nafasi nikupe mapenzi yangu.
Kesho kigiza kikiingia nitakujibu. Mume wangu wiki yote hiyo inayokuja atakuwa busy sana.
Basi powa! Itakuwa vizuri! Ila namba yangu usiisave MCHORA. KUCHA nikigundua nitalia sana.
Powa usiku mwema. Nitasave jina zuri tu la kiume hata hilohilo lako huwa hashiki simu yangu, ananiamini sana.
Haya usiku mwema, kumbuka nakupenda sana, usisahau kuniPM asubuhi.
Mimi leo nimegoma kula! Na sitakula mpaka kesho! Upweke mmbaya wewe usikie tu.
Du! Haya ila unajua ukipendwa, hata chakula kibaya akikupa mpenzi ni kitamu kama asali.
Hodi humu wandugu.....mie mgeni humu....na kama wanavyosema kuku mgeni hakosi kamba mguuni..natafuta mwenyeji wa kuikata kamba yangu...
jamani me bado niko single nataka mume anaejua kubembeleza kama Excel asiwe mkorofi kama @aspirin awe mpole mpole kama babu yangu watu8 awe anajua kuhonga picha na mizawadi kama tayta asiwe mpenda michepuko kama Nicas Mtei
awe na upendo wa agape kama my dad Arushaone
chance hiyoooooo valentine ya mwakani staki kula alone
jamani neddy!
habari za asubuhi mtoto mzuri? jamani imagine mimi ndiye mwanaume wa kwanza kukupa like!
ina maana wengine wooooooooote hawajaona kilio chako au?
come to me my white girl! usiogope kuwa wawili!
wanawake kusaidiana bana!
wewe una mke tayari mambo ya kunifanya spare hayakubaliki
Ndio nini kunianika barazani na Rich Pol?
Sasa ndio nitajua kama mume wangu ananipenda au nitegemee talaka. Jirani vibaya hivyo, imebidi nikurupuke usingizini.
cc: Shansarie
usiwe na hasira za mbogo neddy!
mtoto mzuri kama wewe hatakiwi kupata shida wala kuongea kwa loudspeaker namna hiyo!
come to me!
give it to me gve it to me radically...!
habari za asubuhi jirani?
umeamka salama?
halafu miss neddy ndo tabia gani hiyo ya kunimention halafu unanifuta jamani?
yani niliimagine umesema '' excel i love you ''!! '' come and kiss me switie''!!
you see how romantic the words are?
halafu ghafla unafuta!
hahahahahahaha unaota eeeeeh
Nzuri tu jirani. Basi hata nimeamka kwa kutaka? nimeshtuka tu, huku ndoa yangu iko matatani jirani.
dah.. ila jirani na wewe umeolewa mapema sana!
nani lakini anaekutatiza?