Usifanye hivyo, nipe nafasi na mimi japo kidogo, nakuahidi utafurahi, unajua hapa mjini mwanaume ukiona mke wako anasumbuliwa sana na wanaume jisifie na kujiamini Kuwa mke wangu mzuri ndiyo maana anapata usumbufu, ndiyo maana mkuu
kiwatengu Yuko raha mstarehe na labtop yake sebuleni hata ukirudi jioni hatakuuliza chochote.