Elections 2010 LIVE ON TV: Kikwete ashinda kuwa rais kwa 61.17%

TUme imemtangaza Mheshimiwa Dr. Kikwete kuwa Rais wa Jamhuri ya Tanzani na Dr. Bilali Mohamed kuwa makamu wa Rais. Hivyo basi karibuni tena 2015
 
haamini macho yake kama kaukosa urais! halafu hayo maneno ya kipenzi cha wengi yanatoka wapi? kama angekua kipenzi cha wengi angepata angalau 30% lakini waaapi!

Atapataje 30% wakati wachakachuaji mko makini kwenye kazi yenu?
 
Slaa kwenda apo manake ata Mahakamani asiende bse atakuwa anasupport matokeo.
Ni uamuzi wa busara kutokwenda
 
20137303 - registered
8629283 - voted
spoilt - 227889 - 2.64%
halali - 8398394 - 97.36 %

aptp - mziray - 96,933 - 1.12%
ccm - 5,276,827 - 61.17%
chadema - 2,271,941 - 26.34%
cuf - 695,667 8.06%
nccr- - rungwe - 26388 - 0.31%
tlp - 17482 - 0.20%
updp-dovutwa- 13176 - 0.15%

Mimi mbona napata tafauti?

96,933.00 (1.15%) APPT
5,276,827.00 (62.83%) CCM
2,271,941.00 (27.05%) CHADEMA
695,667.00 (8.28%) CUF
26,388.00 (0.31%) NCCR
17,482.00 (0.21%) TLP
13,176.00 (0.16%) UPDP
8,398,414.00 (100.00%) JUMLA
 
Kipenzi cha wengi, Dr Slaa hajatokea kwenye tafrija ya kutangaza matokeo ya urais.

Kweli Sumu Sumu tu, yaani hii ndo post yako ya kwanza mara baada ya kujiung na JF!!:A S angry:
 
hongera kkwete,ila 2015 CCM hamshindi,shangilieni anguko ambalo JK anakuja kulileta kwa miaka 5
 
Jakaya 5,276,827 (61.17%)

Slaa 2,271,941 (26.34%)

Lipumba 695,667 (8.06%)

Mzirai 96,933 (1.12%)

Lipumba ndo anaongea "kupongeza" ushindi wa Swahiba.... what a shame
 
Waliojiandikisha ni: 20,137,303
Waliopiga Kura ni: 8.626 Million
227 elfu+ : 2.65% zilizoharibika
Kura Halali: 8 Million - 97.36%
Mziray 96,833 1.12% ya kura halali
JK : 5,276,827 - 61.17%
Slaa: 2,271,941 - 26.34%
Lipumba: 695,667 - 8.06%
Rungwe: 26,388 - 0.31%
Mutamwela:17,482 - 0.20%
Dovutwa 13,176 – 0.15%

Kamtangaza JK Rais

Kwa mahesabu ya haraka haraka waliojitokeza kupiga kura ni 43% ya waliokuwa wameandikishwa.
Nadhani nec wana hoja ya kujibu hapa, kwanini idadi ya waliopiga kura imekuwa ndogo kiasi hicho? je hii hai ya rais ambaye ni kiongozi mkuu wa nchi kuchaguliwa na idadi ndogo ya watu anaowaogoza inaashiria nini?wasikurupuke tu kutoa majibu mepesi, wajipange wafanye utafiti hata kama wataitumia redet au synovate.

waliojitokeza kupiga kura ni 43% ya walijiandikisha
waliojitokeza kupiga kura ni 21% ya watanzania wote (assume ppulation yetu ni 40m)
 
mwakilishi wa wagombe (Dr. Ibrahimu Lipumba) anapewa nafasi ya kutoa nasaha zake zilizo jaaa busara. baada ya dr. Silaha kususa
 
Naona Lipumba anacknowledge Slaa kama mshindi wa pili na kwa kuwa Slaa hayupo Lipumba anaongea kwa niaba.
You mean Slaa kama angekuwepo ndo angeongea kheri hajakwenda
 
Lipumba anasema mh. Mwenxekiti wa tume ya uchaka halafu anarekebisha kwa kukwama kidogo mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguzi sijui alitaka kusema nini
 
ila kuchaguliwa na watu mil tano kati ya mill 20 walijiandikisha na 40 mil ya idadi ya wananchi wote basi ni balaa kwa nchi kama hii
 
Back
Top Bottom