Elections 2010 LIVE ON TV: Kikwete ashinda kuwa rais kwa 61.17%

wamwangalie jk kwa makini :dizzy: mara chini, sasa wao badala ya kupeleka ambulance huko wanajaza ffu!
 
Kipenzi cha wengi, Dr Slaa hajatokea kwenye tafrija ya kutangaza matokeo ya urais.


kwani alitaka kumpindua kikwete ni vizuri kwenda ili kuonyesha uungwana. Hata Al Gore alikwenda siku ya kuapishwa Rais Bush pamoja na kwamba alilalamika kwamba Bush alichakachua kura.
 
20137303 - registered
8629283 - voted
spoilt - 227889 - 2.64%
halali - 8398394 - 97.36 %

aptp - mziray - 96,933 - 1.12%
ccm - 5,276,827 - 61.17%
chadema - 2,271,941 - 26.34%
cuf - 695,667 8.06%
nccr- - rungwe - 26388 - 0.31%
tlp - 17482 - 0.20%
updp-dovutwa- 13176 - 0.15%
 
kikwete 5,276,827 Sawa 61.17 Slaa 2,271,941 Sawa na 26.34% Lipumba 695,667 Sawa.8.06%
 
Siasa ina machungu yake na kama ni mtu wa kuweka kinyongo basi umepotea njia. kususa ni siasa za maji taka yenye halufu mbaya
 
Pamoja na kuchakachua kote wameishia 61% wapi Redet wapi synovate?
 
Duh! Kweli sumu! Una siku ngapi jf? Kweli umeingia kumwaga sumu. Angalia zisikudhuru tu!
 
Waliojiandikisha ni: 20,137,303
Waliopiga Kura ni: 8.626 Million
227 elfu+ : 2.65% zilizoharibika
Kura Halali: 8 Million - 97.36%
Mziray 96,833 1.12% ya kura halali
JK : 5,276,827 - 61.17%
Slaa: 2,271,941 - 26.34%
Lipumba: 695,667 - 8.06%
Rungwe: 26,388 - 0.31%
Mutamwela:17,482 - 0.20%
Dovutwa 13,176 – 0.15%

Kamtangaza JK Rais
 
Ni sahihi kabisa, unajua Dr Slaa ni mtu makini, kwake unafiki ni mwiko sasa aende akabariki usanii? Hayo tunmwachia Maalim Seif
 
Kipenzi cha wengi, Dr Slaa hajatokea kwenye tafrija ya kutangaza matokeo ya urais.

haamini macho yake kama kaukosa urais! halafu hayo maneno ya kipenzi cha wengi yanatoka wapi? kama angekua kipenzi cha wengi angepata angalau 30% lakini waaapi!
 
CCM wanashangilia hata hawamsikizi tena lewis. Anasema wanaharibu halfla
 
Pamoja na uchakachuaji wameambulia 61% duh kweli walizidiwa..
 
Mzilay 96,333 -1.12%
kikwete 5,276,827- 61.17%
slaa 2,271,941 -26.34%
lipumba 695,667 - 8%
rungwe 26,388-0.31%
 
Back
Top Bottom