NEC admits mixing up election results (The Citzen page 3 dated 5th November 2010).
Dr. Slaa ana haki ya kutoudhuria upuuzi huo. Hiyo asilimia 61 aliyoipata kikwete kwa kupewa kura 30960 badala ya 17789 na Dr.Slaa kupewa 3789 badala ya 22036 kwenye jimbo moja tu na wakatangaza matokeo bila kurekebisha hizo dosari inaonyesha ni jinsi gani matokeo yaliyotangazwa yasivyo yale ya wapiga kura!
Utatangazaje matokeo wakati unakiri dosari kubwa kama hizo na mtu makini akubali matokeo na kushangila kama zuzu!
Mr. Kiravu haukuwa makini na dhambi hii itakutafuna mpaka mwisho wa maisha yako kama umezeeka hivyo ungewaachia vijana hiyo kazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.