Siamini anaweza kutoa mfano huu kwamba wakristu wamekojolea kuraani, haki ya Mungu hatuna Rais,Anajaribu kubalance ionekane wakirsto nao wana vurugu kwani wanawachukiza waislamu kwa kukojolea vitabu vyao vya dini(hoja ya kipuuzi).

Suala la kuchinja wakristo tunakurupuka, Biblia iko wazi. Hakuna mahala popote inapotoa kanuni za kuchinja na nani achinje. Sheria inakataza kula kibudu, na damu. Vinginevyo ni kutaka kuendeleza vurugu na mabishano yasiyo na mchango chanya kwa jamii.
Na mtu mwenye akili timamu hawezi kupinga kuwa chanzo cha yote ni yeyekwa mtu mwenye akili timamu hawezi ku comment hivi
Udini hauwezi kwisha ikiwa maneno ya kipumbavu kama haya yata endelea kutolewa ktk hadhara kama hii. Uwezi kumtaja Ilunga ilhali unawaacha mchungaji mtikila, mchungaji mpemba. Wabongo tuna ukataa udini mdomoni tu ila moyoni tuna upalilia.Sema Viongozi wa dini na Viongozi wa Ugaidi {ILUNGA} wakutane.
Suala la kuchinja wakristo tunakurupuka, Biblia iko wazi. Hakuna mahala popote inapotoa kanuni za kuchinja na nani achinje. Sheria inakataza kula kibudu, na damu. Vinginevyo ni kutaka kuendeleza vurugu na mabishano yasiyo na mchango chanya kwa jamii.
Ndugu wanajamii katika hotuba yake ya Mwisho wa mwezi akiongelea juu ya mgogoro wa udini na zaidi akielezea juu ya mgogoro wa uchichaji mh. rais ahoji mbona kuna mabucha ya nguruwe watu hawapigani.?
Nilitarajia kama rais mwenye maamuzi ya mwisho pamoja na maelezo ya utangulizi kwa kila jambo angehitisha namna hii.
1. Tatizo la kuchinja kuanzia leo uchinjaji ni ........... na atakaye kwenda kinyume na hivyo ata.......
2. Tatizo la uchochezi hasa wa kidin kuanzia leo ..........atakayepatika anahubili kwa misingi ya ........ achukuliwe hatua .....atakaekamatwa na kanda, dvd, cd, vcd nk za uchochezi mara moja a.........atakayebainika kutengeza na kusabaza vitu hivi mara moja ......
3. Kuhusu uchomaji wa makanisa kuanzia leo mkowa au eneo uhalifu huu ukitokea ndani ya muda flani wahalifu wawe wamepatikana bila hivyo mkuu wa mkowa, Rpc na afisa upelelezi mkowa waachie ngazi mara moja kwa uzembe.
4. tatizo la kushuka kwa elimu pamoja na ............ mwisho wahusika wajitathimi kama wanafaa kuendelea kubakia wizarani .......maana taifa lolote linasimama kupitia elimu.
5. Kuhusu vyombo vya habari na wamiliki wake...........
Cha ajabu kikwete ameporomoa story kama muuza kahawa asiye na maamuzi wala mamlaka ilimradi anawaburudisha wateja wake kahawa yake iendelee kunyweka.
Nasikitika upuuzi wa uchochezi, upuuzi wa kogombea kuchinja, nk vitaendelea maadamu mwenye nyumba bado amelala fofofo na hana cha kumua na hatua za kudhibiti ujinga huu.
Adolay,
Hii nchi inafuata utawala wa sheria. Rais hana mamlaka hayo ya kuwa hakimu.
Kwahiyo kwa ufinyu wako wa kimtizamo ulitegemea Mh. Rais ange ruhusu utuchinjie vibudu? Pia unatakiwa ujue Rais nimtu kama watu wengine sio kosa wala ajabu yeye kuhudhuria mazishiNakuunga kwa hili Rais katika hotuba yake, ananyesha kujikosha na sio kukemea hali ilivyo na uovu unayotokea, kuhusu kuhudhuria misiba kwani yeye ni lazima afanye hivyo kazi zake huwa anazipitia muda gani? Ndio maana Rais analaumiwa kwa kupewa taarifa zisizo sahihi. Kudhuru msiba wa shekhe au Mchungaji hii sio kazi ya Rais wa JMT, japo wengi wasio jua majukumu ya rais uona ni fahari. RAIS ANATAKIWA KUKEMEA UOVU BILA KUJALI ITIKADI YAKE. Uovu ni uovu, hauna ustaarabu.
Nguruwe huwa hachinjwi na wala waislamu hawali nguruwe.... Mgogoro wa uchinjaji unakuja pale mnyama aliyeruhusiwa kuliwa kwa sharti la kuchinjwa inakuwa pale ambapo yule asiyeruhusiwa kuchinja anachinja, maana yake analisha watu vibudu. Nguruwe anajulikana ni najsi na hivyo haruhusuwi kuliwa sasa kwa nini mgombane kwa kitu kisichoruhusiwa kuliwa? Kwani ukila wewe najsi (mfano ukila ng'ombe aliyekufa kibudu) bila kuwashirikisha na wengine kuna tatizo gani? Mbaya zaidi ninyi waktristo mnataka kutulisha na sisi waislamu vitu haramu hapo ndo hatukubali.....Vibudu vyenu mnataka kuvifanya public na ligitimate kwa kila mtu....Hapo lazima mapigano makali yatatokea.
Suluhisho ni ninyi mkavila ninyi wengewe individually manyumbani kwenu na si kuanzisha mabucha. Mbaya zaidi mnakashfu uislamu na elimu nzima ya kuchinja mnataka kuonesha kwamba kuchinja siyo issue kama mlivyofanya katika mambo ya KUTAHIRIWA eti mnasema kutahiriwa nyama ya govi si kitu. Sasa kama hujatahiriwa unapata wapi mamlaka ya kuchinja?......
kwanini hili tatizo limeibuka 2010 alipogombea padre? Na kwa nini halikuibuka 2005 alipogombea kikwete kwa mara ya kwanza? Fikiri kwa makini mkuu usidhani watu ni wajinga kwa kuwa wamenyamaza. Tunajua kila kitu hata vile vya uvunguni mnavyovipanga kwenye sirikampeni zake 2010
Msisitizo hapa ni uleule Wacristo muendelee kula nyama iliyo chinjwa na Waislamu.Baada ya kuongea yote hayo hapo kwenye blue mkuu wangu amehitisha vipi? yaani what was his conclusion?
Je ameliacha hewani? amewaacha wananchi waamue nini hasa ...........
Kwahiyo kwa ufinyu wako wa kimtizamo ulitegemea Mh. Rais ange ruhusu utuchinjie vibudu? Pia unatakiwa ujue Rais nimtu kama watu wengine sio kosa wala ajabu yeye kuhudhuria mazishi
Msisitizo hapa ni uleule Wacristo muendelee kula nyama iliyo chinjwa na Waislamu.