Live on TBC1: Hotuba ya Rais mwisho wa mwezi Machi 2013

Status
Not open for further replies.
Anajaribu kubalance ionekane wakirsto nao wana vurugu kwani wanawachukiza waislamu kwa kukojolea vitabu vyao vya dini(hoja ya kipuuzi).
Siamini anaweza kutoa mfano huu kwamba wakristu wamekojolea kuraani, haki ya Mungu hatuna Rais,
 
Suala la kuchinja wakristo tunakurupuka, Biblia iko wazi. Hakuna mahala popote inapotoa kanuni za kuchinja na nani achinje. Sheria inakataza kula kibudu, na damu. Vinginevyo ni kutaka kuendeleza vurugu na mabishano yasiyo na mchango chanya kwa jamii.

wakristo hawakurupuki na wala wao hawakuwa na shida ya kuchinja miaka yote ni pale tu walipofumbuliwa macho na Wasira kuwa waislamu kuchinja ni ibada,na wakristo kwa imani yao hawawezi kushiriki ibada ya miungu wengine.
 
Sema Viongozi wa dini na Viongozi wa Ugaidi {ILUNGA} wakutane.
Udini hauwezi kwisha ikiwa maneno ya kipumbavu kama haya yata endelea kutolewa ktk hadhara kama hii. Uwezi kumtaja Ilunga ilhali unawaacha mchungaji mtikila, mchungaji mpemba. Wabongo tuna ukataa udini mdomoni tu ila moyoni tuna upalilia.
 
Suala la kuchinja wakristo tunakurupuka, Biblia iko wazi. Hakuna mahala popote inapotoa kanuni za kuchinja na nani achinje. Sheria inakataza kula kibudu, na damu. Vinginevyo ni kutaka kuendeleza vurugu na mabishano yasiyo na mchango chanya kwa jamii.

Tatizo lililopo mchinjaji anafaja ibada ambayo mm kwa imani yangu hainiruhusu
 
Ndugu wanajamii katika hotuba yake ya Mwisho wa mwezi akiongelea juu ya mgogoro wa udini na zaidi akielezea juu ya mgogoro wa uchichaji mh. rais ahoji mbona kuna mabucha ya nguruwe watu hawapigani.?

Nguruwe huwa hachinjwi na wala waislamu hawali nguruwe.... Mgogoro wa uchinjaji unakuja pale mnyama aliyeruhusiwa kuliwa kwa sharti la kuchinjwa inakuwa pale ambapo yule asiyeruhusiwa kuchinja anachinja, maana yake analisha watu vibudu. Nguruwe anajulikana ni najsi na hivyo haruhusuwi kuliwa sasa kwa nini mgombane kwa kitu kisichoruhusiwa kuliwa? Kwani ukila wewe najsi (mfano ukila ng'ombe aliyekufa kibudu) bila kuwashirikisha na wengine kuna tatizo gani? Mbaya zaidi ninyi waktristo mnataka kutulisha na sisi waislamu vitu haramu hapo ndo hatukubali.....Vibudu vyenu mnataka kuvifanya public na ligitimate kwa kila mtu....Hapo lazima mapigano makali yatatokea.

Suluhisho ni ninyi mkavila ninyi wengewe individually manyumbani kwenu na si kuanzisha mabucha. Mbaya zaidi mnakashfu uislamu na elimu nzima ya kuchinja mnataka kuonesha kwamba kuchinja siyo issue kama mlivyofanya katika mambo ya KUTAHIRIWA eti mnasema kutahiriwa nyama ya govi si kitu. Sasa kama hujatahiriwa unapata wapi mamlaka ya kuchinja?......
 
Wakristo wameonesha uvumilivu mkubwa sana muda mrefu ndo maana wameamua kutoa tamko. Kuna mambo mengi ambayo anataka kuidhihirishia dunia kuwa yeye ni makini kufuatilia masuala yanayondelea. Ananikera sana anapowahusisha wakristo na vurugu zinazofanywa na waislamu dhidi ya wakristo.aseme ni wapi wakristo wamechoma msikiti kwa jambo lolote? Ukristo hauna sera ya malipizo. Kwahiyo rais tutake radhi . Suala la kukojolea quruan for god's sake sidhani kama lina uzito anaotaka kulipa. Unaambiwa watoto walikuwa wanabishana mmoja anatishia mwenzake kuwa utageuka nyoka ukikamata quruan mtoto wa pili akawa inquistive kama kweli anachoambiwa ni cha kweli akaamua kukojolea ili aone muujiza huo na akahakiki hakuna lolote. Kitendo alichokifanya hakikuwa cha kiungwana hata kidogo more or less ulikuwa ni utoto na ukosefu wa uchaji wa kuheshimu dini nyingine, lakini ummat wa dini ukahamaki wakti serkali inachukua hatua. Wakachoma makanisa na kuiba vitu kanisani sijui hili la kuiba vitu nalo ni agizo la dini ama vipi. Normally christian are so rational on ahandling of matter while asking their god on what next to do. We would like our counterpart to copy this merit in theri approach to solving problems
 
Nilitarajia kama rais mwenye maamuzi ya mwisho pamoja na maelezo ya utangulizi kwa kila jambo angehitisha namna hii.

1. Tatizo la kuchinja kuanzia leo uchinjaji ni ........... na atakaye kwenda kinyume na hivyo ata.......

2. Tatizo la uchochezi hasa wa kidin kuanzia leo ..........atakayepatika anahubili kwa misingi ya ........ achukuliwe hatua .....atakaekamatwa na kanda, dvd, cd, vcd nk za uchochezi mara moja a.........atakayebainika kutengeza na kusabaza vitu hivi mara moja ......

3. Kuhusu uchomaji wa makanisa kuanzia leo mkowa au eneo uhalifu huu ukitokea ndani ya muda flani wahalifu wawe wamepatikana bila hivyo mkuu wa mkowa, Rpc na afisa upelelezi mkowa waachie ngazi mara moja kwa uzembe.

4. tatizo la kushuka kwa elimu pamoja na ............ mwisho wahusika wajitathimi kama wanafaa kuendelea kubakia wizarani .......maana taifa lolote linasimama kupitia elimu.

5. Kuhusu vyombo vya habari na wamiliki wake...........

Cha ajabu kikwete ameporomoa story kama muuza kahawa asiye na maamuzi wala mamlaka ilimradi anawaburudisha wateja wake kahawa yake iendelee kunyweka.

Nasikitika upuuzi wa uchochezi, upuuzi wa kogombea kuchinja, nk vitaendelea maadamu mwenye nyumba bado amelala fofofo na hana cha kumua na hatua za kudhibiti ujinga huu.

Umepiga pale pale panapohusika. Tatizo analokumbana nalo JK ni sawa na mtu aliyechimba shimo kuubwa alafu udongo aliochimba umechukuliwa. Ili kulifukia shimo hilo ni lazima atachimba lingine. Ndo maana unaona anapiga tararira kama muuza kahawa
 
Adolay,

Hii nchi inafuata utawala wa sheria. Rais hana mamlaka hayo ya kuwa hakimu.

Mkuu inawezekana upo sahihi lakini siamini hivyo

Mkapa alipo gawa jengo la Tanesco morogoro alitumia mamlaka gani? naamini kama rais katiba ilimruhusu

Neno mzee ruksa kwa Alhaj Ally hassan mwinyi lilitokana na matumizi mazuri ya katiba katika maamuzi neno ruksa kutoka kwa rais si bure (mamlaka kutoka katiba kwa mambo mbalimbali pia, kukataza na kukataa yote haya ni yake)

Nisingependa kuenda ndani, kwa maelezo hayo nitakuwa nimeeleweka. Rais bora ni yule anayethubutu na anayefanya maamuzi sio kutoa maelezo hanatofauti na sisi huku mitaani tunaobishana na kulaumiana kutwa nzima mwisho wa siku hatuna la maana tunalala tumechoka maana mamlaka ya maamuzi yapo kwa wengine (Rais, mawaziri, mahakama nk)
 
Imeandikwa wapi ktk biblia au katiba fungu lipi linalowazuia wakristo kuchinja? Nakushauri usijaribu kulazimisha mawazo yako ya dini katika mjadala kama huu.
 
Nakuunga kwa hili Rais katika hotuba yake, ananyesha kujikosha na sio kukemea hali ilivyo na uovu unayotokea, kuhusu kuhudhuria misiba kwani yeye ni lazima afanye hivyo kazi zake huwa anazipitia muda gani? Ndio maana Rais analaumiwa kwa kupewa taarifa zisizo sahihi. Kudhuru msiba wa shekhe au Mchungaji hii sio kazi ya Rais wa JMT, japo wengi wasio jua majukumu ya rais uona ni fahari. RAIS ANATAKIWA KUKEMEA UOVU BILA KUJALI ITIKADI YAKE. Uovu ni uovu, hauna ustaarabu.
Kwahiyo kwa ufinyu wako wa kimtizamo ulitegemea Mh. Rais ange ruhusu utuchinjie vibudu? Pia unatakiwa ujue Rais nimtu kama watu wengine sio kosa wala ajabu yeye kuhudhuria mazishi
 
Kama rais hajasema nani anastahili kuchinja kwenye hotuba yake basi ameonyesha dharau kubwa kwa maaskofu waliomtaka afanye hinyo ili kulinda katiba aliyoapa kuilinda. Ninaomba Rais ajue kuwa ile sauti ya maaskofu si sauti ya wao kama binadamu ila nia sauti ya Mungu mwenyewe aliye hai. Majanga yanayoipata tanzania si bure bali ni adhabu tuliyopewa kutokana na kumkana Mungu wa israel na kufuata/kutenda mambo yasiyo haki. Ninaomba nimwambie Rais wangu mpendwa kutoa kauli hiyo si hiari yake bali nilazima afanye hivyo kwa mamlaka tuliyompa na kama ameshindwa kufanya hivyo basi ajue kuwa Mungu wa Mussa, Mungu wa Yakobo, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Yusufu atainuka na kutoa pigo ambalo siyo tu litahusu watanzania wasio na hatia bali hata yeye binafsi/familia yake itahusika pia. Kukwepa pigo hilo lisimpate anatakiwa afanye kitu kimoja tu, kujibu hoja zote alizoambiwa na maaskofu azijibu. Binafsi nakutakia Rais wangu utekelezaji mwema wa majukumu uliyopewa juu ya nchi hii lakini usijisahau kuwa na wewe ni mwanadamu kama mimi na utaonja mauti kama mimi.
 
Nguruwe huwa hachinjwi na wala waislamu hawali nguruwe.... Mgogoro wa uchinjaji unakuja pale mnyama aliyeruhusiwa kuliwa kwa sharti la kuchinjwa inakuwa pale ambapo yule asiyeruhusiwa kuchinja anachinja, maana yake analisha watu vibudu. Nguruwe anajulikana ni najsi na hivyo haruhusuwi kuliwa sasa kwa nini mgombane kwa kitu kisichoruhusiwa kuliwa? Kwani ukila wewe najsi (mfano ukila ng'ombe aliyekufa kibudu) bila kuwashirikisha na wengine kuna tatizo gani? Mbaya zaidi ninyi waktristo mnataka kutulisha na sisi waislamu vitu haramu hapo ndo hatukubali.....Vibudu vyenu mnataka kuvifanya public na ligitimate kwa kila mtu....Hapo lazima mapigano makali yatatokea.

Suluhisho ni ninyi mkavila ninyi wengewe individually manyumbani kwenu na si kuanzisha mabucha. Mbaya zaidi mnakashfu uislamu na elimu nzima ya kuchinja mnataka kuonesha kwamba kuchinja siyo issue kama mlivyofanya katika mambo ya KUTAHIRIWA eti mnasema kutahiriwa nyama ya govi si kitu. Sasa kama hujatahiriwa unapata wapi mamlaka ya kuchinja?......

Nani aliyekulazimisha kula nyama ambayo huitaki? Anzishen mabucha yenu na sisi tutakuwa na ya kwetu tusitiane shombo hapa.
 
kampeni zake 2010
kwanini hili tatizo limeibuka 2010 alipogombea padre? Na kwa nini halikuibuka 2005 alipogombea kikwete kwa mara ya kwanza? Fikiri kwa makini mkuu usidhani watu ni wajinga kwa kuwa wamenyamaza. Tunajua kila kitu hata vile vya uvunguni mnavyovipanga kwenye siri
 
Baada ya kuongea yote hayo hapo kwenye blue mkuu wangu amehitisha vipi? yaani what was his conclusion?

Je ameliacha hewani? amewaacha wananchi waamue nini hasa ...........
Msisitizo hapa ni uleule Wacristo muendelee kula nyama iliyo chinjwa na Waislamu.
 
Kwahiyo kwa ufinyu wako wa kimtizamo ulitegemea Mh. Rais ange ruhusu utuchinjie vibudu? Pia unatakiwa ujue Rais nimtu kama watu wengine sio kosa wala ajabu yeye kuhudhuria mazishi

Nani kakulazimisha kula! Katafute isiyo kibudu wewe vipi bwana. Kila mtu ana haki ya kula na kuchinja kama anavyotaka ndo maana waislam wenzio kibao tunakula nao kitimoto na bia gademit
 
Nguruwe huwa hachinjwi na wala waislamu hawali nguruwe.... Mgogoro wa uchinjaji unakuja pale mnyama aliyeruhusiwa kuliwa kwa sharti la kuchinjwa inakuwa pale ambapo yule asiyeruhusiwa kuchinja anachinja, maana yake analisha watu vibudu. Nguruwe anajulikana ni najsi na hivyo haruhusuwi kuliwa sasa kwa nini mgombane kwa kitu kisichoruhusiwa kuliwa? Kwani ukila wewe najsi (mfano ukila ng'ombe aliyekufa kibudu) bila kuwashirikisha na wengine kuna tatizo gani? Mbaya zaidi ninyi waktristo mnataka kutulisha na sisi waislamu vitu haramu hapo ndo hatukubali.....Vibudu vyenu mnataka kuvifanya public na ligitimate kwa kila mtu....Hapo lazima mapigano makali yatatokea.

Suluhisho ni ninyi mkavila ninyi wengewe individually manyumbani kwenu na si kuanzisha mabucha. Mbaya zaidi mnakashfu uislamu na elimu nzima ya kuchinja mnataka kuonesha kwamba kuchinja siyo issue kama mlivyofanya katika mambo ya KUTAHIRIWA eti mnasema kutahiriwa nyama ya govi si kitu. Sasa kama hujatahiriwa unapata wapi mamlaka ya kuchinja?......

Katiba ya nchi inasemaje kuhusu masuala ya dini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom