Live on TBC1: Hotuba ya Rais mwisho wa mwezi Machi 2013

Status
Not open for further replies.
Nilifikiri alikuwa hayaoni wala kusikia haya yahusuyo dini kumbe alikuwa anayajua haswa.

Alivyokuwa ananyamaza muda wote mpal uharibu wa mali, vurugu, watu kuuawa alikuwa anamaanisha nini? Au alikuwa anataka kuona mtu akiuwawa inakuwaje?
Anaacha kushughulikia serious matter anabaki kufanya Propaganda za kina Mwigulu + kuuza nchi kwa watu wa nje(Asia, Ulaya, Amerika).
Nchi imemshinda akae pembeni.
Hivi wewee ndugu yangu serious matter kwako ni ipi, hata kama ni pessimism hii ni noma.
 
Tatizo lililopo mchinjaji anafaja ibada ambayo mm kwa imani yangu hainiruhusu
Kwahiyo miaka yote mulikua hamjui? Hamna lolote hamtaki mutawaliwe na Muislam. Tushawazoea Wacristo wa nchi hii pindi madaraka (yeyote) yakiangukia kwa muslim huwa hamuishi vituko na vihoja ili kuiaminisha Dunia kua Muslm simtu afaae kuwa ongoza. Mkapa kauwa mamia ya raia 2001 kule Zanzibar hakuna aliye lala mika. Tumuache jamaa amalize muda wake kwa amani.
 
Umenchekesha sana! Raisi gani huyo unayesema muislam? Huyu tunayekula naye bia ambaye kitimoto anagonga kama hana akili nzuri? Au uislam ni jina? Ihusishe akili yako kidogo tu acha kuendeshwa na GUBU kama mke mwenza ambaye ni tasa! Ulishamsikia pengo anawaambia watu wapige watu risasi na AK47?
nani kakueleza bia na nguruwe zinamtoa mtu kwenye Uislam? Ungenambia nae jana alikuwa anaadhimisha mungu kufufuka ningekubaliana nawe!
 
mimi napita tu..ila hii hotuba atakuwa ameitoa kwa shinikizo tu, ili aonekane amegushwa, kwa nini asiitoe jana 31/03 yeye anaitoa leo tarehe 1 siku ya wajinga tena asub.
 
nani kakueleza bia na nguruwe zinamtoa mtu kwenye Uislam? Ungenambia nae jana alikuwa anaadhimisha mungu kufufuka ningekubaliana nawe!

Ndo muwe mnakula hadharan sasa sio mnajifichaficha na kubadilisha majina! By the way sisi uchoyo sio jadi yetu kitu kizuri tunakula na nyie ndugu zetu!
 
97-9=7 (simple mathematic) Ukiwa Rais unatakiwa uwe unajua namna ya kusimplify mambo muhimu yahusuyo jamii ktk taifa la Tz.

Watanzania tunavuna tulichopanda. Mahesabu tuliyofanya ndiyo majibu tuliyopata yanafanya kazi.
 
Imeandikwa wapi ktk biblia au katiba fungu lipi linalowazuia wakristo kuchinja? Nakushauri usijaribu kulazimisha mawazo yako ya dini katika mjadala kama huu.
Sasa na wewe mjuaji tupe andiko wapi Bibli una kuruhusu kuchnja?
 
Nimeshtuka kidogo baada ya kumsikia Mh. Raisi akiesema kwa kinywa chake ya kwamba kuna misikiti mitatu jijini DSM imemwombea dua ili yeye afe, pia IGP naye ameombewa kufa.
Dahhhh.........kumbe kuna dini inayoweza kumwombea mtu kufa. Ngoja nisubiri kama Raisi na IGP watakufa.
 
Amani ya Tz inafia mikononi mwa Jk na yuko njia panda kweli kweli.Anaogopa hata kutoa maamuzi akisema waislam ndiyo wenye haki ya kuchinja anaogopa kupigwa mawe na wakristo pia akiwaruhusu wakristo wachinje anaogopa kupigwa mawe na waislam wenzake.Akikaa kimya nalo tatizo wakristo watakuwa wanaendelea kulazimishwa kuabudu ibada ambayo haiwahusu kwa hiyo lazima wampige mawe. Kwa kweli Jk ni wakuhurumiwa kipindi hiki ni kigum sana kwake kwa vile aliyataka mwenyewe sharti ayanywe.
 
Nani kakulazimisha kula! Katafute isiyo kibudu wewe vipi bwana. Kila mtu ana haki ya kula na kuchinja kama anavyotaka ndo maana waislam wenzio kibao tunakula nao kitimoto na bia gademit
Ndio maana Serkali inapiga marufuku Mgalatia kuchija wala kuanzisha bucha. kwakua inawajua tabia zenu. Munaweza mukatuuzia Nguruwe, Kenge, Panya navingine vya hovyo. Nyinyi endeleeni kula nyama iliyo chinjwa na muslim ama hamtaki kuleni kisamvu kama Bob maley
 
Acha u.ma.vi wew utaifakwanza. wewe pamoja na mr dh.ai.fu akili yenu sawa tu kumbe. Mediocre presidaaaa
 
Amani ya Tz inafia mikononi mwa Jk na yuko njia panda kweli kweli.Anaogopa hata kutoa maamuzi akisema waislam ndiyo wenye haki ya kuchinja anaogopa kupigwa mawe na wakristo pia akiwaruhusu wakristo wachinje anaogopa kupigwa mawe na waislam wenzake.Akikaa kimya nalo tatizo wakristo watakuwa wanaendelea kulazimishwa kuabudu ibada ambayo haiwahusu kwa hiyo lazima wampige mawe. Kwa kweli Jk ni wakuhurumiwa kipindi hiki ni kigum sana kwake kwa vile aliyataka mwenyewe sharti ayanywe.

Alichofanya ni kuchimba shimo na kuuza udongo aliouchimba mwanzon sasa kila akitaka kulifukia shimo alilochimba anakuta kashachimba lingine. Moja haikai mbili haikai
 
wewe kifua chako kimejaa chuki na husuda uliyopandikizwa na wajinga wenzako huko ndio mana unaendekeza mambo ya kijinga..hili taifa linakutegemea na linategemea mchango wako.. Amani ya tanzania inategemewa kuwepo kwa mchango wako lakini kwa jinsi unavyoonekana, wewe ni adui wa tanzania

Adui wa Tanzania hawa hapa;
SERIKALI YA CCM CHINI YA KIKWETE;- Ni wazi kuwa uzembe wa makusudi wa kutokuchukua hatua mapema kabla mambo hayajaharibika kiasi hiki ndiko kulikotufikisha hapa. Serikali ya CCM chini ya Kikwete ilitoa vibali na ulinzi kwa wahadhiri waliozunguka nchi nzima kufanya mihadhara ya uchochezi wa kidini, mihadhara hiyo ilianzia Dsm na hatimaye nchi nzima. Licha ya kuukejeli ukristo mihadhara hiyo ilikuwa mahsusi kuwaeleza watanzania kuwa nchi inaongozwa kwa mfumo kristo, kumtukana na kumkejeli Baba wa taifa marehemu Mwl. Nyerere. Moja ya kauli iliyotolewa pale Diamond jubilee kwenye mhadhara wa ufunguzi ulioshirikisha masheikh wa mikoa yote na wawakilishi wa taasisi zingine za kiislamu ni hii " KUFA KUPONA TUTAHAKIKISHA UKATOLIKI UNANG'OKA MIZIZI YAKE TANZANIA" , Kauli iliyoungwa mkono na washiriki wa mhadhara huo baada ya kuulizwa na mc wa shughuli hiyo sheikh Ponda kuwa kama wapo tayari kwa hilo.

Tulitegemea baada ya kauli kama hiyo wahuska wangechukuliwa kali za kisheria, lakini serikali ya CCM iliwapa vibali vya kuendelea na mihadhara ya namna hiyo mikoani. Uzuri mihadhara hii ilkuwa inatangazwa misikitini na gari la matangazo hupita mitaani kutangaza na inafanyika sehemu za wazi tena siku za jumapili, vipaza sauti vya kutosha huku defender za polisi zimepaki hatua chache zikiwahakikishia usalama wahadhiri wakimwaga sumu ya udini mchana kweupe!.

Sasa Kikwete atueleze ni kwa nini serikali yake ya CCM ilikiacha kikundi hiki kifanye kinavyotaka bila vyombo vya dola kuchukua hatua?, Je ni nini kitakachotuzuia kuamini kuwa kulikuwa na maelekezo maalum kutoka kwenye ofisi yako kwenda kwa watendaji kote mikoani ya kutokuwabughudi wahadhiri hao bali wapewe ulinzi na ushirikano wa kutosha ili wafanikishe malengo yao/yenu?

Kupitia Steven Wasira seikali imekiri kuwa ilichelewa kuchukua hatua kudhibiti migogoro hii ya kidini, je ni hatua gani au ni nani aliyewajibishwa kwa uzembe huu wa kutokuchukua hatua kwa wakati?, kama hakuna (tunajua hivyo) unaonaje ukajipima kama umetenda vyema ktk hili na ukachukua dhamana ya kuomba radhi watanzania kwa uzembe wako na serikali unayoiongoza kwa kuteteresha umoja wetu kwa manufaa mnayoyajua?
Yapo mengi ila mwisho, CCM na serikali yake chini ya Kikwete mnahusika moja kwa moja na hali hii, mliyoianzisha na kuilea kwa manufaa mnayoyajua, sasa yamefika pabaya, tafadhalini sana myamalize, ni vema mkawatuma walewale mliowatumia kupita walikopita na zaidi, kuwataka radhi watanzania huku nanyi myatumie majukwaa ya kisiasa kuwaomba radhi watanzania kwa uzembe na kupandikiza mbegu za chuki za udini na ukabila kusudi mtugawe ili muendelee kututawala.

UKWELI UTAKUWEKA HURU:
 
Muasisi wa udini nchi hii ni Augstino Lyatonga Mrema,wakati anagombea urais kupitia NCCR Mageuzi alikuja na ilani ya Mhakama ya kadhi ili kuwa appease waislamu baada kuapin na dela nao ipasavyo down katika sakata la kubomolewa mabucha ya nguruwe,CCM bila kutafakari madhara ya ile ilani wakaibeba na wao ili kupata kura za waislamu,na hapo ndipo tulipolikoroga,sasa inabidi tulinywe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom