Hili swali mi sijalielewa mkuu. Wanasoma maswali live?Umuhimu wa stakabadhi kwenye maduka yetu ya mitaani ambao hawamo kwenye VAT; ni bidhaa gani ambazo zinahitaji stakabadhi na zipi hazihitaji stakabadhi?
Hili swali mi sijalielewa mkuu. Wanasoma maswali live?
Hili swali mi sijalielewa mkuu. Wanasoma maswali live?
MASWALI KUHUSU STAKABADHI ZA VAT.
- Kuna tofauti gani kati ya VAT on invoice na VAT on Receipts?
- Kuna baadhi ya makampuni wanatoa Invoice zisizo na VAT codes wasema wanatoa VAT receipt baada ya kupokea malipo Je hii ni sahihi?
- Kwa mfanya biashara ambae hajafanya mauzo yoyote kwa Mwezi mzima kwa mfumo huu wa VAT machine bado anahitajika kupeleka NIL report?