Mimi mmoja wapo " ila ningekimbia nchi kwa muda mpaka itapotulia ndio ningerudi hahaakuna watu wanatamani kinachotokea sasa hivi huko Paris kingekuwa kinatokea bongo
Hahaha unahitajika central kesho asubuhiNaona wananchi wameamua! Nikifuatilia comments za live chart, inaonesha wananchi wameyachoka maisha waishio,
Kero zao kubwa ni
katiba mpya.
Kupanda kwa kodi hasa mafuta.
Kubanwa kwa uhuru wa habari.
Naona matatizo yanafanana na wale wananchi wa hile nchi takatifu! Donner contry
unataka tear gas eti si unajua maandamano hainogi bila tear gasKuna kitu na wish ila ndo ivo tena
Watz wataishia kutamani tuu...kuna watu wanatamani kinachotokea sasa hivi huko Paris kingekuwa kinatokea bongo
Umesahau kuwa yana fanana na ya ile nchi ambayo kiongozi wake baada ya kumaliza uongozi wake hapa Duniani Ataenda kuongoza malaika huko MBINGUNI!!Naona wananchi wameamua! Nikifuatilia comments za live chart, inaonesha wananchi wameyachoka maisha waishio,
Kero zao kubwa ni
katiba mpya.
Kupanda kwa kodi hasa mafuta.
Kubanwa kwa uhuru wa habari.
Naona matatizo yanafanana na wale wananchi wa hile nchi takatifu! Donner contry
Eti wasafi FM haahhahahaa we jamaaHabari zipo inategemea na vyombo vya habari unavyofuatilia...
Usitegemee kuzikuta ITV au Wasafi FM.
Aljazeera wanarusha vizuri saana.
Macron nafikiri anaweza kuondoka...Ukitegemea kinacholalamikiwa ni Tax na kupanda kwa mafuta- Na hawa matajiri wa Mafuta ni siku kadhaa nao wanavutana kwenye bei ya mafuta Ulaya.
Jambo viongozi wetu wanalotakiwa wajifunze ni kuacha "kiburi" ingekuwa nchi yetu tungeskia waandamanaji 400 wauawa na askri....ila hawa jamaa hawatumii silaha za moto kwa wafaransa wenzao.


Tanzania lini tutaungana?


mkuu umewaza nn
Walitutesa sana wa Africa na ubaguzi wao sasa ni zamu yao!
Vipi lissu nae amevaa yellow vest!


Leo wakuu comment zenu ziko on 



unataka tear gas eti si unajua maandamano hainogi bila tear gas
Kiongozi ukiangalia sasa siogop uarabuni, mashariki ya mbali, ulaya na America wanapata tabu sana Mungu analipiza.mkuu umewaza nn
Nakubaliana na ww 100%, alaf eti wameweka vikwazo Iran vya kuuza mafuta, wanamfuata MMAREKANI, sasa ivi mafuta yamepanda miongoni mwa sababu ni kuekewa vikwazo nchi kama Iran kama utachunguza kiundani.Kiongozi ukiangalia sasa siogop uarabuni, mashariki ya mbali, ulaya na America wanapata tabu sana Mungu analipiza.
Mara huku watoto wao wanatwangana risasi darasani na mitaani, mara wameruhusu ushoga, mara ugumu wa maisha mara vimbunga vya majina yake ajabu ajabu,ubaguzi wa watu weusi etc.
Wacha shuruba hiyo waipate tu hakuna namna kutesa kwa zamu.
Nikweli kabisa kiongoziNakubaliana na ww 100%, alaf eti wameweka vikwazo Iran vya kuuza mafuta, wanamfuata MMAREKANI, sasa ivi mafuta yamepanda miongoni mwa sababu ni kuekewa vikwazo nchi kama Iran kama utachunguza kiundani.
Kwani magereza walijengewa mbuzi?mtaishia gerezani
NIKO NA RT MKONO KWA MKO HAWAFICHI KITU MKUUKiwake tuu nao walau wasikie ladha ya hizi shida wanaziwaanzishia wemzao.
Hizi taarifa ukizitaka kwa uweledi zaid ingia RT Russia Today yaani utapata kila kitu haswa mabaya yanayotokea na yanayotarajiwa kutokea


usijali mwisho wote tutaishia kufamtaishia gerezani
Duh na chanzo cha kupanda kwa mafuta wana kijuwa!Nakubaliana na ww 100%, alaf eti wameweka vikwazo Iran vya kuuza mafuta, wanamfuata MMAREKANI, sasa ivi mafuta yamepanda miongoni mwa sababu ni kuekewa vikwazo nchi kama Iran kama utachunguza kiundani.
Duh na chanzo cha kupanda kwa mafuta wana kijuwa!
Tume wazidi ustarabu na uvumilivu leo ninaona hapa yana uzwa 2,439lt wandamane wachome kila kitu labda itasaidia huku kupungua bei!




fundi25