mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 626
- Thread starter
- #101
Nasikia Nape akiwa amelala usingizi anaweweseka kwa kuiota CDM....Chadema inawakondesha viongozi wa ccmNi flat kama soda na bia iliyoharibika i.e no gas ya kutosha!!!! Ukinywa unavimbia tumbo!!! Yaani kweli Nape na SSM wanaiogopa M4C!!! Ha ha ha