Live: Nape Nnauye,John Mrema,Benson Bana na Hemed Msabaha ndani ya EATV.

Nape anawashughulishaje vilaza wa Movement For Chaga angalia povu linavyokutoka hahaha

Vilaza ni dhaifu, ni legelege kama mujuavyo ni nyie Chama Cha Mafisadi, Chama cha Mwabwepande, Chama cha Mauaji, Chama Cha Majambazi, etc.
 
Msabaha anamuuliza Nape kama ni kweli CDM wanapata pesa kutoka nje kwanini wasiwachukulie hatua wakati
wao ndiyo watawala?
 
Kawadanganye ambao hawana Tv huyu John Mrema anaonekana kama kikatoon tena aliyekremishwa chakusema.....ama kwa hakika uelewa wa huyu John Mrema ni 0
Mrema anaongea point black na za kweli. Tangu lini Nape akaongea jambo la maana!!! Anawasaidia kuimalizia SSM taratibu!!! 2014 anahama SSM akajiunge na kile chama walichoanzisha!!
 
Ha ha ha Nape wenu hana lolote na hana uwezo wa kuweza kuwa -challenge wale pale mezani. Anapayuka tu bila speed governor kama ilivyo kawaida yake. Wanamshambulia kama mpira wa kona.

Inabidi mkuu nikutafutia Miwani au wewe ni kiziwi nn? Au utakuwa huangalii Tv sasa hv....John Mrema anaoneka ni 0 kabisa hapa tulipo wana CHADOMO wanagombana kwann CHADOMO wamekubali kumpeleka huyo kilaza maana kafunikwa kabisa na NAPE.....wakati mwingine peenda kuwa mkweli acha propoganda huyu Mrema ni 0
 
Msabaha anamuuliza Nape kama ni kweli CDM wanapata pesa kutoka nje kwanini wasiwachukulie hatua wakati
wao ndiyo watawala?

Wana evidence? Wapayukaji tu ila wananchi wa leo si wa jana. Janja ya SSM kwisha!!
 
Muungoza kipindi anauliza mbona kwenye mikutano ya ccm watu hawapigwi risasi?
Iweje mikutano ya CDM polisiwanakuwa wengi kuliko waudhuliaji?
 
Mrema anaongea point black na za kweli. Tangu lini Nape akaongea jambo la maana!!! Anawasaidia kuimalizia SSM taratibu!!! 2014 anahama SSM akajiunge na kile chama walichoanzisha!!
zongolwa acha kujiaibisha na wewe na usipende kutetea kila kitu huyo Mrema leo kawaaibisha kabisa yaan imeonekana CHADOMO wengi n 0 kichwan ndio maana wenzako wale wenye akili kdg wako kimya hawachangii hata hili Bandiko.....Mrema kawaaibisha jamaa ni mweupe kabisa kichwani na ndio tabu hiyo ya kukremishwa pale kasahau kila kitu hahahahaha
 
Last edited by a moderator:
Inabidi mkuu nikutafutia Miwani au wewe ni kiziwi nn? Au utakuwa huangalii Tv sasa hv....John Mrema anaoneka ni 0 kabisa hapa tulipo wana CHADOMO wanagombana kwann CHADOMO wamekubali kumpeleka huyo kilaza maana kafunikwa kabisa na NAPE.....wakati mwingine peenda kuwa mkweli acha propoganda huyu Mrema ni 0

Naona huyu Mrema kakukuna kabisa, na ndiyo ana point pale. Na kwa Taarifa yako Mrema ni NSSR Mageuzi na si Chadema!!! Yaani kile anayeongea mnaogopa mnasifikiri ni CDM? For sure kila damu ya Mtanzania ambaye anajua SSM ilivyotuhadaa ana damu ya CDM!!! Hawaogopi kufa tena na ndiyo maana mikutano ya CDM itakuwepo milele. Na kwa sasa dunia itaingilia kati na SSM mmeshindwa. Acha wananchi na demokrasia----Chama cha Demokrasia na Maendeleo vs Chama cha Majambazi.
 
Weeee mropokaji tu baki na uropokaji wako hahaha nimetambua hata Kipindi huangaliii
 
zongolwa acha kujiaibisha na wewe na usipende kutetea kila kitu huyo Mrema leo kawaaibisha kabisa yaan imeonekana CHADOMO wengi n 0 kichwan ndio maana wenzako wale wenye akili kdg wako kimya hawachangii hata hili Bandiko.....Mrema kawaaibisha jamaa ni mweupe kabisa kichwani na ndio tabu hiyo ya kukremishwa pale kasahau kila kitu hahahahaha

Ninaitwa Zogwale si Zongolwa. Sasa wewe hata spelling ya ID yangu unakosea? Wewe na huyu unayesema ni 0 nani zaidi? Niko hapa leo hadi kipindi kiishe. Twende kazini. Ukinichoka niache!!
 
Huyo mwendesha kipindi alipata Division 4 Form 4. No wonder ameshindwa kuongoza kipindi kiakili na badala yake anaanza kuongelea mambo yasiyo na uhusiano kabisa na mada kuu. Amepata wageni wazuri ila yeye mwenyewe kilaza wa kutupwa. Kipindi kama hicho alitakiwa apewe Jenerali Ulimwengu. Watu wengine bwana.

Hahahahaha wageni wazuri Nape? Au unamaanisha nini?
 
Hii salon ya Million hairs iko wapi? naona huyu muongoza kipindi amependeza sana na anaisifia sana hiyo salon.
Nataka niende na mamito wangu as soon as i can.

Sasa John mrema anasema mtu kama Samweli Sitta hakustahili kabisa kupewa mamlaka yoyote! anasema Sita ni
bogus
 
Nashukuru uwepo wa Nape CCM, kwani kwa kauli zake anausaidia upinzani (Chadema ) kuchukua nchi kilaini.......asante NAPE nautambua uwepo wako, na umuhimu wako hapo Chama Cha Kijani...
 
Pole kwa kujifariji na hadithi zako za Abunuasi hahahahaha
 
Nashukuru uwepo wa Nape CCM, kwani kwa kauli zake anausaidia upinzani (Chadema ) kuchukua nchi kilaini.......asante NAPE nautambua uwepo wako, na umuhimu wako hapo Chama Cha Kijani...

Sure mkuu. Yaani aliyemchagua Nape awe Katibu Mwenezi yaani apata zangu kumi!!!! Yaani ni disaster!!
 
Back
Top Bottom