Live: Nape Nnauye,John Mrema,Benson Bana na Hemed Msabaha ndani ya EATV.

Ni flat kama soda na bia iliyoharibika i.e no gas ya kutosha!!!! Ukinywa unavimbia tumbo!!! Yaani kweli Nape na SSM wanaiogopa M4C!!! Ha ha ha
Nasikia Nape akiwa amelala usingizi anaweweseka kwa kuiota CDM....Chadema inawakondesha viongozi wa ccm
 
Nape Ubongo wake bado haujabikiliwa ndio maana anarobpoka anapaswa kubikiriwa ..............
 
Ni flat kama soda na bia iliyoharibika i.e no gas ya kutosha!!!! Ukinywa unavimbia tumbo!!! Yaani kweli Nape na SSM wanaiogopa M4C!!! Ha ha ha

Mkuu Nape anakutoa Povu ki noma....Naona jina lake halikauki mdomoni kwako hahahaha Nnauye Jr. Mkuu weee ndio kiboko yao si unaona unavyowatoa Povu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Nape anakutoa Povu ki noma....Naona jina lake halikauki mdomoni kwako hahahaha Nnauye Jr. Mkuu weee ndio kiboko yao si unaona unavyowatoa Povu

Desi Mangola, Nape sijawahi hata kumthamini hata chembe. Yaani yeye na mtoto wa Chekechea anayeanza kujifunza 3Ks mtoto atamshinda kwa arguments. Kwa mantiki hiyo Nape si size yangu!! Ninamdharau kuliko....... jaza mwenyewe. Sitaki kifungo cha JF.
 
Nape anazo baadhi ya funguo za ukombozi wa nchi hii...........kauli zake!!

Mkuu Nape anatakiwa ajikomboe kwanza yeye na mawazo dhaifu na legelege!! Ila tu kwa bahati mbaya SSM ni Chama chake cha mwisho, labda aanzishe chake hakuna chama kitampokea!!
 
Desi Mangola, Nape sijawahi hata kumthamini hata chembe. Yaani yeye na mtoto wa Chekechea anayeanza kujifunza 3Ks mtoto atamshinda kwa arguments. Kwa mantiki hiyo Nape si size yangu!! Ninamdharau kuliko....... jaza mwenyewe. Sitaki kifungo cha JF.

Hujawai kumthamini kivipi mkuu? Wakati tangu Bandiko limebandikwa hakukauki mdomoni hahahaha kadanganyane na watoto wenzako....
 
Huyo mwendesha kipindi alipata Division 4 Form 4. No wonder ameshindwa kuongoza kipindi kiakili na badala yake anaanza kuongelea mambo yasiyo na uhusiano kabisa na mada kuu. Amepata wageni wazuri ila yeye mwenyewe kilaza wa kutupwa. Kipindi kama hicho alitakiwa apewe Jenerali Ulimwengu. Watu wengine bwana.

Hii 'signature' yako inaniua sanaaaaaa
 
Hahahaha mkuu na ndoto zako za Abunuasi naona umeamua kuwa kioja kushabikia Movement for Chaga ni sawa kabisa na mtu aliyerukwa na akili......na bado kidogo tu utajua namaanisha nn
Mkuu, acha kujichetua akili! nakuhakikishia ccm ni lazima izikwe tu! kwanini unabishana na ukuta?
Hivi ni kweli umeamua kuzuia mafuriko ya Tsunami kwa mikono hiyo miwili? mkuu kwa hapa mimi nitashinda
na wewe utashindwa tu. Rais Kikwete mwenyewe anajua kuwa things fall apart sembuse wewe? kazi kwako
baki na ubishi wako
 
Hujawai kumthamini kivipi mkuu? Wakati tangu Bandiko limebandikwa hakukauki mdomoni hahahaha kadanganyane na watoto wenzako....
Desi Mangola, now days hata shetani anaigopa ccm! shtuka mkuu! things fall apart....amini maneno yangu ccm
imeshakufa bado kuzikwa
 
Ukitaka kuamini kama ccm imeshakufa hebu fuatilia kauli za viongozi wake na mambo yanayoendelea kuibuka hapa nchini kila siku. Bye bye ccm vilaza wako walikupenda sana, lakini mungu amekupenda zaidi
 
Nape anazo baadhi ya funguo za ukombozi wa nchi hii...........kauli zake!!

Ha ha ha ha ha! Hiyo kali! Labda funguo za mamlaka na falme za kuzimu kwani kule (kuzimu) yule Baba wa Uovu anao ma-agent na wawakilishi wake duniani katika hali tofauti iwe katika mwili na nyama, taasisi (kama CCM), n.k.

Kwa matendo taasisi hujidhihirisha inamtumikia nani na sio kwa maneno matupu (sera) kama anavyotaka kutuaminisha huyo Katibu wa Itikadi na Uenezi.
 
Nape hana tofauti na teja. Anaropoka nonesense. Hoja zake hazina mantiki.
 
hao si ndo wale waliomfukuzisha Tido Mhando kwa kuitisha debates wakati wa uchaguzi? Tulishuhudia wagombea wa CCM wakitupwa mbali kwa hoja? Hapo EATV lazma Nape atie aibu.
 
I don't want to be to pessimistic, but the CCM will NEVER give up power without a fight. They would rather have this country in flames than to see another party in control. Is what i see it, in 2015.
 
The CCM seems to have reached to end of road. The issue really lies in the fact...we have unqualified politicians ( Nape and his useless colleagues ) making uneducated decisions...it's the blind leading the blind.
 
Pole kwa kujifariji na hadithi zako za Abunuasi hahahahaha
Nikushauri kitu ndugu yangu; ungekuwa unapinga kwa hoja kwa kuandika yale Mrema anaongea sio wewe kumpinga kila mtu anayetoa comment juu ya kinachoendelea. Kama utaendelea hivi tunakuhesabu wewe mamluki tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom