Live: Mzee Malecela on ITV

Malecela: Swala la mpka lilianzishwa na Rais Banda mana alikuwa anadai sehemu yote ya kusini
 
malecela nchi zikiwa zina ziwa mpakani lazima nchi hizo mbili mpaka uwe katikati
 
wenye access na tv msikilizeni mzee.
anazungumzia mgogoro wa ziwa nyasa.
ngoja tuone kama kichwa cha le mutuz kina'reflect na cha mzee.
 
Malechela:kama wakisema ziwa ni la kwao basi maji yakikauka ziweni liwe sehemu ya tanzania
 
nani huyo??bwana jumanne??anampigia debe lemutuz au ni nini anongea?
 
Kichwa Chake hakitofautiani na cha mwanae hapa JF.
The late Mwl Julius Nyerere was absolutely right....Just Imagine watu kama akina KJ Le Mutuz wangekuwa wanaishi Magogoni, Kwli Nyerere alikuwa anaona Mbali
 
oo! sorry, kumbe dr.keshaanzisha thread. mods unganisheni ile yangu na hii ya dr. naona dr. ana report vizuri.
 
Mtangazaji: kwanini hii issue ya malawi imeendaaa ikawa kimya then inaibuka sasa hivi?
 
Malecela: Tanzania ina maliasili nyingi songosongo na mtwara etc, kwahiyo hii maliasili ya malawi sio chochote
Watafiti ndo wachocezi katika huu mpaka

hii mbona anajichanganya mara anasema linakuzwa na vyombo vya habari mara watafiti......LIKE SON LIKE FATHER
 
Baba le mutuz anafurahisha sasa hv anasema watu wasihofu hili suala litaisha kwa diplomasia wakati wao na julie walipeleka wajeda kipindi cha mgogoro wa kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…