live: Mkutano wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga

sijawahi kuhudhuria mkutano wowote wa kisiasa leo nimeshawishiwa na rafiki yangu hapa shy. Mbowe kaomba ridhaa kwa wananchi red brigade wafundishwe ukakamavu au la. Wote walioudhuria wamenyoosha mikono juu wakimaanisha wafundishwe. pia amelaumu vyombo vya dola kutenda unyama dhidi ya wananchi wasio na hatia.
 
Pole wee
attachment.php

safi sana makamanda chukueni tahadhari na vitu vyenye ncha kali
 
ahsanteni jf shinyanga sanjari na makamanda wote mliofanikisha mkutano kanda ya ziwa mashariki, upendo, mshikamano na ujasiri uwe nanyi daima....wabheja sana
 
hii picha ina mambo mengi sana ndani yake
watu wana nyuso zilizo jaa faraja na amani
ila kuna kitu mwenyekiti kaongelea naona watu wengi wameweka
mikono kichwani wakiashiria kuhudhinishwa
kilichonifurahisha zaidi hawaonekani kukataa tamaa
wanaonyesha furaha na ukakamavu
Mungu ipe CHADEMA nguvu
attachment.php
 
Mmechokwa mmesuswa na mmedharauliwa. Watz hawadanganyiki, wanakiamini chama kilichowajengea barabara, shule, vyuo vikuu na hospitali kila kijiji

Kwani kuna serikali gani haifanyi hayo? CCM wanapenda kusifiana kwa mambo ya kawaida, eti tumejenga vyuo vikuu! Hovyooo
 
Wekeni basi tupicha makamanda au siku hizi ndiyo tumejichokea.

Nilisha sema kuwa kinacho wasumbua ni state of denial (kukataa kuukubali ukweli wa mnacho kiona wakati ukweli ni kwamba mnateseka/kinawatesa).

Kwenye statement yako mtu mwenye akili timamu akikusoma katikati ya mistari anajua kabisa kuwa una denial inayotaka kuona huruma au pigo la picha.

Pole sana!
 
Kwani kuna serikali gani haifanyi hayo? CCM wanapenda kusifiana kwa mambo ya kawaida, eti tumejenga vyuo vikuu! Hovyooo

Hapo kwa red mwenyewe nashangaaa sijui walitaka walipwe mishahara bila hata kupakaa vumbi kidogo ilhali wananchi wanalila hilo vumbi kila siku
 
Wekeni basi tupicha makamanda au siku hizi ndiyo tumejichokea.

Kwani wewe ni kamanda? Picha za makamanda zinakuwashia nini? Jamani pilipili usioila inakuwasha nini? Huu uzi niwa makamanda. ..magamba hamtakiwi :peace:
 
:a s 2152: Tunawapata makamamda wa ukweli picha zimekuwa zikichelewa kuwekwa fanya juu chini weka picha. Makamanda wa ukweli . Tumeanza na mungu tutamaliza na mungu. Tushirikiane kuvamia iramba magharibi imekuwa ya mwisho kutembelewa na viongozi wa juu. Tunawahitaji sana.
 
Nilichokipenda zaidi ktk ulinzi wa leo kuna muonekano mpya maana guards wamegeukia upande wa wananchi maana yake mrusha bomu au mwenye kitu chenye ncha kali aonekane ila maccm na green guars wao na policcm wao wanawapa watu mgongo maana yake ukitupia kitu cha ncha kali na wao ndani yake.....M4C daima!
 
Hahaha hahaha policcm hawako hapo?? Makamanda kuweni makini sana na hao policcm kama wako...kamanda mbowe asishuke jukwaani...mchungeni sana kamanda wetu wa anga mbowe...pia mwisho wa mkutano msisahau lile bakuli letu pls!!!!
 
Back
Top Bottom