Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,243
Aaah bro...wanaume tunateteana bana!!!
Sasa hicho ni kiteteo gani!??
Kweli we zombie....ashakuambia ana ratiba nyingine...hiyo siku nyingine atakuwa na nyingine...stuka!
YANGA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE (cc: Remmy)
Yani we mkuu una uhakika wa kutokuwa mentioned milele...ndo jina gani hilo!!!
Maazimio ni kwenye mkutano ujao kila mtu anje na LOCAL BREW ya kutoka kwao!!!
Cc Mtambuzi, Madame B, Remmy Zion Daughter , Paloma , watu8, Vin Diesel Mentor FirstLady1, manoah, Kipaji Halisi, Teamo, Asprin, FirstLady et al...
Hapa tunamzungumzia Lily siyo?Kha!
Asa aliekwambia kama yule mtoto alikuwa ticha nani?
Alikuwa anauza K ka rafiki yake yule mwenye miguu yote ya kushoto.
Mdingi huyo Kanali si ndio alikuwa anam-bandua mamake shoga angu.
Chezea Mbunye ya Mmwera wewe!
Mpaka Banda kajengewa.
Hapa tunamzungumzia Lily siyo?
Mentor, eti leo jumangapi?
Na wewe mume wa ladyfurahia nimeku mind sana....
Kwa kifuuuupi kabisa kabla sijaifunga hii sredi, kuna kiumbe chochote cha kiume au cha kike kati yenu anaweza kuniambia hapa mnadiskasheni makitu gani hasa?
watu8, imekuwaje arifu ukanitelekeza na haya majukumu mazito?
Ni samehe basi sweatheart ohoooo sorry dear!!:tape2:
Ha haa duh!By Asprin
Mjeda kanali mstaafu bana. Baba yake rafiki yako ticha kipotabo kama wewe.
Kha!
Asa aliekwambia kama yule mtoto alikuwa ticha nani?
Alikuwa anauza K ka rafiki yake yule mwenye miguu yote ya kushoto.
Mdingi huyo Kanali si ndio alikuwa anam-bandua mamake shoga angu.
Chezea Mbunye ya Mmwera wewe!
Mpaka Banda kajengewa.
Heheheheeh! We mutu ni hatareeeeeey!!Asprin Perfume wapi>>>>>>>>Hapa ni petral jombaa!!acha kitu cha chimoni!!Sasa kama unataka kula na mimi ninakupa mtihani wakitu cha Perfume kwanza ukipita salama njoo usanue kila kitu!Hapa ni kwako halafu bwana tukionana macho makavu ntakupa issue!
Kwa kifuuuupi kabisa kabla sijaifunga hii sredi, kuna kiumbe chochote cha kiume au cha kike kati yenu anaweza kuniambia hapa mnadiskasheni makitu gani hasa?
Mkishanijibu mniambie:
Remmy, na wewe unanipenda kama navyokupenda?
amu, unweza niambia maana mbili za neno 'kopo'?
Mentor, eti leo jumangapi?
Vin Diesel, kikombe alichonipa baba sitakinywa?
Kipaji Halisi, CCM Safffey au hoooi?
watu8, imekuwaje arifu ukanitelekeza na haya majukumu mazito?
Madame B, unaifahamu gesti mpya bunju inaitwa Hijase?
FirstLady, Tuna nini mimi na wewe
KakaKiiza, kizuri kula na nduguyo. Kama perfume bei ghali tumia petroli, umenierrrrewwwa?
Paloma, hivi unajua kijambacho ni tumbo, kitoacho mlio ni spika?
Mtambuzi, wel wel well........ sina
swali kwako
Evelyn Salt, lile jukwaa lako na Madame B umelambwa ban?
Baada ya kusema hayo..... CCM Saffffeeeeeeeeeeeeeeeey???
Bia kupanda bei heshima saffffeeey!
Ushauri: Kunywa biya kwa wingi Remmy na Zion Daughter wapate mishahara.
Biyaaaa Safffffeeeeeey!!
..mzee wa bandari..Meli hiyoooo. AsprinBadili nini??:dizzy::dizzy::dizzy:
..unataka kunikabidhi maesk..?..unipe na manifesto yake..hahahahaha