Je? ukimkumbatia amu, si ndio utajiharibia hapo hapo.. yule kijani alikua ame vaa miwani au?
Unabadili majina sana vipi unatafutwa na cia au interpol?
Somebody help me...who is this dude....??! Mtambuzi.. Vindiesel Remmy babu Asprin.. Teamo nsaidieni huyu jamaa ni nani??!
Au ndo yule alivaa green kule further left kwa Madame B.
Au ni mshkaji wa tanuru la fikra??!
amu sauti yako tu mamii...daah ebu ni pm ur number niisikie tena ata machungu ya kukatiwa umeme yatapungua.
Ha ha ha 0714800880 call me now
Hujamuona?Wote mahandsome kama wewe
Usizuge wewe
Kuuuumbe....JuFa??! Au nmekosea tena...
Ha ha ha haaaaa we kijana ni mnoma mbaya...oh mama unataka kusingizia UPT na wewe sio!!!
ilaaa ulizitumia kwa nani maana FirstLady nilienda naye mimi...wageni waalikwa (guest members) waliondoka na KakaKiiza na Kipaji Halisi... Remmy aling'ang'aniwa na mzee Mtambuzi.
unasema....?!?!
Kuna mtu ka hack account yangu....sio bure
Lipi hilo?
La kukutana kule mahali?
:bounce:Sasa kama unqdanganyika mie nifanyeje? Nakudanganya mwanzo mwisho