Live from King Jada Hotel Morocco DSM: Kikao Kazi Shirikana Jukwaa la Wahariri, TEF

Ndani ya kipindi cha miaka 5, NHC.imepata faida ya TZS, 235 bilioni!.
p
 
Miradi.ya 711 na Morocco Square ni miradi ya watu wenye kipato kikubwa, nyumba zinaanzia TZS milioni 300 - 900, faida inayopatikana kwenye miradi hii ya matajiri, inatimika kujengea nyumba za gharama nafuu kwa ajili ya wananchi wa kawaida.
P
 
Wanabodi

Niko hapa King Jada Hotel Morocco DSM: Kikao Kazi Kati
ya
Shirika la Nyumba la Taifa, NHC na Jukwaa la Wahariri, TEF.

Karibuni

Paskali
Sawa sawa pigeni kazi,ila waambie wale wanaohusika kuwa ile app ya kujisajili waandishi haifanyi kazi,kila ukitaka kujisajili haikubali.Mimi nawaunga mkono sana waandishi na nimesomesha watoto wangu 3 nchini marekani wakisomea uandishi japo hawafanyi kazi ya uandishi,wananibia taarifa nyingi za uandishi
 
Bw. Hamad Abdallah amesema mradi wa Samia Housing Scheme sio tuu ni suluhisho la makazi kwa wananchi wa kawaida, pia ni mkombozi wa political peace, stability and tranquility, utafiti umethibitisha idadi kubwa ya waandamaji wa maandamano yasiyo na vibali, wengi wao wanaishi kwenye squatters, mradi huu wa Samia housing scheme,watu wa squatters wanahamishwa na kujengewa nyumba bora!

P
Paskali bana, unalazimisha story watu hawana muda nayo. Ndio maana nusu ya uzi ni post zako! Hujifunzi bro kuwa huku mitandaoni hamna mvuto?
 
Balile ameipongeza NHC kwa kuamka, kuna wakati ilisinzia.
Sasa NHC wanafanya kweli.
P
Kuna siku balile hajaipongeza serikali?
Huyo ni muhariri takataka tu
Ni kweli " kila anyemlipa mpiga zumari" ndiyo huchagua nyimbo ya kuchezwa.
Na nahodha asiyejua Bandar arndayo hapotei njia
Ndiyo balile na wewe Pascal
 
Miradi.ya 711 na Morocco Square ni miradi ya watu wenye kipato kikubwa, nyumba zinaanzia TZS milioni 300 - 900, faida inayopatikana kwenye miradi hii ya matajiri, inatimika kujengea nyumba za gharama nafuu kwa ajili ya wananchi wa kawaida.
P
Wajenge sasa miradi ya watu
Wa chini/kawaida

Ova
 
Paskali bana, unalazimisha story watu hawana muda nayo. Ndio maana nusu ya uzi ni post zako! Hujifunzi bro kuwa huku mitandaoni hamna mvuto?
Mkuu Tindo
1. Mimi ni mwandishi wa habari,kazi yangu ni upashanaji habari, hata kama hakuna mtu hata mmoja,anayesoma post yangu, mimi bado nitaandika tuu, hivyo silazimishi mtu yoyote kusoma post yangu,kitendo cha wewe kuingia tuu hata bila kuchangia,nawaona idadi ya wasomaji, hivyo naendelea kuandika na ninaandika sana tuu!。
2. Hii nusu ya uzi ni post zangu, this is a developing news,nafanya update from time to time,nina thread humu,zimesomwa na mtu mmoja tuu na hakuna mchango hata mmoja,lakini mimi nakuwa nimetimiza wajibu wangu!。
3. Mvuto:Mimi sio mwandishi wa news za mvuto,mimi reporter wa developmental news na sio popular news. Soko la walaji wa habari wa Tanzania,wanapenda simple things,habari za udaku na Simba na Yanga,DIamond na Wema,Zari etc. Mimi na deal na serious news ambazo wasomaji huwa hawavutiwi ,mimi naendelea kutimiza wajibu wangu!.

Kama ni kweli usemayo, hii habari yako haikupaswa kuwepo kwenye jukwaa la siasa, bali jukwaa la habari na hoja mchanganyiko.
 
Bw. Hamad Abdallah amesema mradi wa Samia Housing Scheme sio tuu ni suluhisho la makazi kwa wananchi wa kawaida, pia ni mkombozi wa political peace, stability and tranquility, utafiti umethibitisha idadi kubwa ya waandamaji wa maandamano yasiyo na vibali, wengi wao wanaishi kwenye squatters, mradi huu wa Samia housing scheme,watu wa squatters wanahamishwa na kujengewa nyumba bora!

P
 
Kama ni kweli usemayo, hii habari yako haikupaswa kuwepo kwenye jukwaa la siasa, bali jukwaa la habari na hoja mchanganyiko.
Bw. Hamad Abdallah amesema mradi wa Samia Housing Scheme sio tuu ni suluhisho la makazi kwa wananchi wa kawaida, pia ni mkombozi wa political peace, stability and tranquility, utafiti umethibitisha idadi kubwa ya waandamaji wa maandamano yasiyo na vibali, wengi wao wanaishi kwenye squatters, mradi huu wa Samia housing scheme,watu wa squatters wanahamishwa na kujengewa nyumba bora!
P
 
Bw. Hamad Abdallah amesema mradi wa Samia Housing Scheme sio tuu ni suluhisho la makazi kwa wananchi wa kawaida, pia ni mkombozi wa political peace, stability and tranquility, utafiti umethibitisha idadi kubwa ya waandamaji wa maandamano yasiyo na vibali, wengi wao wanaishi kwenye squatters, mradi huu wa Samia housing scheme,watu wa squatters wanahamishwa na kujengewa nyumba bora!

P
Bei za samia housing pale kawe ulishaziona

Ova
 
Bw. Hamad Abdallah amesema mradi wa Samia Housing Scheme sio tuu ni suluhisho la makazi kwa wananchi wa kawaida, pia ni mkombozi wa political peace, stability and tranquility, utafiti umethibitisha idadi kubwa ya waandamaji wa maandamano yasiyo na vibali, wengi wao wanaishi kwenye squatters, mradi huu wa Samia housing scheme,watu wa squatters wanahamishwa na kujengewa nyumba bora!
P
Hii kuhusu squatter upgrade nishasema sana ni wakati wa serikali kuliamulia na kulifanyia kazi
Waache maneno maneno

Ova
 
Back
Top Bottom