Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,673
- 134,378
Wanabodi,
Mimi mwanabodi mwenzenu, leo niko Delta Hotel jijini Dar es Salaam, to share na nyinyi uzinduzi wa Kitabu
kilichoandikwa na Marsha Msuya Kileo.
View: https://youtube.com/live/vpYHWWtVFVs
Hiki ni kipindi maalum cha uzinduzi
View: https://youtu.be/y_zJipDG18M?si=jHpEazmnCgMnkSab
Hii ni Story ya Uzinduzi wa Kitabu
Mgeni rasmi kwenye uzinduzi huo ni Jaji wa Mahakama Kuu, Mhe. Jaji Aisha Sinda, aliyesema kitabu hicho ni kizuri, kuwahamasisha watoto wa kike, kuwa na ndoto kubwa, na jinsi ya kutimiza ndoto zao, kwa ku balansi mahitaji makubwa kazini, kutegemewa kazini, wakati huo huo ni mke wa mtu mwenye majukumu ya nyumbani, wakati huo huo ni mama mwenye watoto mwenye majukumu ya kulea, lakini bado akatimiza ndoto zake kubwa.
Akimzungunzia Marsha, Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies, ambapo Marsha ni mfanyakazi wake, Mamadou Ngom, amesema Marsha ni mwanamke mwenye bidii sana kazini, na sio tuu ni tegemeo kubwa kwa kampuni yake, bali pia ni tegemeo kubwa kwa taifa la Tanzania, kupitia upatikanaji wa mafuta, kufuatia TotalEnergies kuwa ndio kampuni kubwa ya kwanza inayoongoza kwa vituo vya mafuta.
Akimzungumzia binti yake, Baba wa Marsha, Eng. Hillary Msuya, amesema Marsha alianza kuonyesha kipaji chake cha uongozi toka akiwa mdogo, na kufuatia Mama yake, Jaji Mstaafu Upendo Msuya (RIP), Marsha aliamua kusomea sheria, ni wakili na mwanachama wa TLS, lakini akaamua kufa kazi kwenye kampuni ya mafuta ya TotalEnergies. Baba anasema aligombana na binti yake baada ya kupata kazi yenye malipo makubwa zaidi kwenye mgodi wa dhahabu, baba akitaka binti aende, huku binti akigomea hapo hapo alipo, lakini sasa ugomvi huo umekwisha kwasababu hapo hapo alipo amekuwa ni mtu mkubwa kazini.
Akizungumzia kitabu hicho, Marsha mwenyewe anasema aliamua kuandika kitabu kufuatia changamoto alizokutana nazo kazini, kwenye uongozi, majukumu ya familia, kulea watoto, hivyo kubuni mbinu za kukabiliana na changamo hizo na kuamua kuziweka kwenye kitabu, ili kushare na wengine, kiwasaidie, na sio wanawake tuu, hata wanaume, waajiri, na vijana wa kike na kiume vyuoni ili kuwatia moyo kuwa na ndoto kubwa.
Mara baada ya uzinduzi, kulifanyika mauzo ya kitabu hicho, nakala zaidi ya 100, zikanunuliwa hapo kwa hapo.
Hizi ni picha za tukio.
Picha 1. Mwandishi wa kitabu, "The Table Got Bigger" Marsha Msuya Kilewo, akiingia ukumbini kwa kukanyaga a red carpet reception
Picha 2. Mwandishi wa kitabu, "The Table Got Bigger" Marsha Msuya Kilewo, akionyesha mfuko wenye kitabu kinachokuja kuzinduliwa.
Picha 3. Mwandishi wa kitabu, "The Table Got Bigger" Marsha Msuya Kilewo, akiwa ameambatana na mumewe Jordan Fungomali Kilewo, akitoa makaribisho na utambulisho.
Picha 4. Matayarisho ya uzinduzi rasmi wa kitabu,
Picha 5. Uzinduzi rasmi wa kitabu, unaofanywa na Jaji wa Mahakama Kuu, Jaji Aisha Ali Sinda
Picha 6. Shamrashamra za Uzinduzi rasmi wa kitabu, unaofanywa na Jaji wa Mahakama Kuu, Jaji Aisha Ali Sinda
Picha 7. Picha ya pamoja baada ya Uzinduzi wa kitabu
Picha 8. Mgeni Rasmi, Jaji Aisha Sinda, Kushoto, akimpongeza mwandishi wa kitabu, Marsha Msuya Kilewo
Picha 8. Mkurugenzi Mkuu wa TotalEnergies Tanzania Mamadou Ngum, akimpongeza Mwandishi wa Kitabu Marsha Msuya Kilewo, na mumewe Jordan Fungomali Kilewo,
Picha 9. Mkurugenzi Mkuu wa TotalEnergies Tanzania Mamadou Ngum, katika picha ya pamoja na kitabu na Mwandishi wa Kitabu Marsha Msuya Kilewo, ambaye pia mmoja wa ma boss wa TotalEnergies Tanzania.
Picha 10. Jordan Fungomali Kilewo, akimpongeza mkewe Marsha Msuya Kilewo, kwa kuandika kitabu, akiwa na kitabu chake
Baba Mzazi wa Marsha, Eng. Hillary Msuya, akimpongeza binti yake Marsha Msuya Kilewo, kwa kuandika kitabu, huku akiwa na kitabu chake.
Picha 11. Mwandishi wa kitabu, "The Table Got Bigger" Marsha Msuya Kilewo, akitafakari baada ya uzinduzi
Picha 12. Mwandishi wa kitabu, "The Table Got Bigger" Marsha Msuya Kilewo, akizungumza na mimi huku akionyeshea jinsi meza inavyotanuka na kuwa kubwa.
Paskali
Mimi mwanabodi mwenzenu, leo niko Delta Hotel jijini Dar es Salaam, to share na nyinyi uzinduzi wa Kitabu
kilichoandikwa na Marsha Msuya Kileo.
View: https://youtube.com/live/vpYHWWtVFVs
Hiki ni kipindi maalum cha uzinduzi
View: https://youtu.be/y_zJipDG18M?si=jHpEazmnCgMnkSab
Hii ni Story ya Uzinduzi wa Kitabu
Mwanamke Mtanzania, Achapisha Kitabu cha Kimataifa Nje ya Nchi, "A Table Got Bigger", na Kuja Kukizindulia Nyumbani Tanzania, Jijini Dar es Salaam, Ambapo Mauzo ya Kitabu Hicho Kusaidia Wenye Uhitaji.
Mwanamke wa Kitanzania, Marsha Msuya Kileo, jana amezindua kitabu chake cha kimataifa kiitwacho "A Table Got Bigger". alicho kiandika kwa lugha ya Kiingereza na kukichapisha kwa mchapishaji wa kimataifa, ila jana amekuja kukizindulia nchini Tanzania.Mgeni rasmi kwenye uzinduzi huo ni Jaji wa Mahakama Kuu, Mhe. Jaji Aisha Sinda, aliyesema kitabu hicho ni kizuri, kuwahamasisha watoto wa kike, kuwa na ndoto kubwa, na jinsi ya kutimiza ndoto zao, kwa ku balansi mahitaji makubwa kazini, kutegemewa kazini, wakati huo huo ni mke wa mtu mwenye majukumu ya nyumbani, wakati huo huo ni mama mwenye watoto mwenye majukumu ya kulea, lakini bado akatimiza ndoto zake kubwa.
Akimzungunzia Marsha, Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies, ambapo Marsha ni mfanyakazi wake, Mamadou Ngom, amesema Marsha ni mwanamke mwenye bidii sana kazini, na sio tuu ni tegemeo kubwa kwa kampuni yake, bali pia ni tegemeo kubwa kwa taifa la Tanzania, kupitia upatikanaji wa mafuta, kufuatia TotalEnergies kuwa ndio kampuni kubwa ya kwanza inayoongoza kwa vituo vya mafuta.
Akimzungumzia binti yake, Baba wa Marsha, Eng. Hillary Msuya, amesema Marsha alianza kuonyesha kipaji chake cha uongozi toka akiwa mdogo, na kufuatia Mama yake, Jaji Mstaafu Upendo Msuya (RIP), Marsha aliamua kusomea sheria, ni wakili na mwanachama wa TLS, lakini akaamua kufa kazi kwenye kampuni ya mafuta ya TotalEnergies. Baba anasema aligombana na binti yake baada ya kupata kazi yenye malipo makubwa zaidi kwenye mgodi wa dhahabu, baba akitaka binti aende, huku binti akigomea hapo hapo alipo, lakini sasa ugomvi huo umekwisha kwasababu hapo hapo alipo amekuwa ni mtu mkubwa kazini.
Akizungumzia kitabu hicho, Marsha mwenyewe anasema aliamua kuandika kitabu kufuatia changamoto alizokutana nazo kazini, kwenye uongozi, majukumu ya familia, kulea watoto, hivyo kubuni mbinu za kukabiliana na changamo hizo na kuamua kuziweka kwenye kitabu, ili kushare na wengine, kiwasaidie, na sio wanawake tuu, hata wanaume, waajiri, na vijana wa kike na kiume vyuoni ili kuwatia moyo kuwa na ndoto kubwa.
Mara baada ya uzinduzi, kulifanyika mauzo ya kitabu hicho, nakala zaidi ya 100, zikanunuliwa hapo kwa hapo.
Hizi ni picha za tukio.
Picha 1. Mwandishi wa kitabu, "The Table Got Bigger" Marsha Msuya Kilewo, akiingia ukumbini kwa kukanyaga a red carpet reception
Picha 2. Mwandishi wa kitabu, "The Table Got Bigger" Marsha Msuya Kilewo, akionyesha mfuko wenye kitabu kinachokuja kuzinduliwa.
Picha 3. Mwandishi wa kitabu, "The Table Got Bigger" Marsha Msuya Kilewo, akiwa ameambatana na mumewe Jordan Fungomali Kilewo, akitoa makaribisho na utambulisho.
Picha 4. Matayarisho ya uzinduzi rasmi wa kitabu,
Picha 5. Uzinduzi rasmi wa kitabu, unaofanywa na Jaji wa Mahakama Kuu, Jaji Aisha Ali Sinda
Picha 6. Shamrashamra za Uzinduzi rasmi wa kitabu, unaofanywa na Jaji wa Mahakama Kuu, Jaji Aisha Ali Sinda
Picha 7. Picha ya pamoja baada ya Uzinduzi wa kitabu
Picha 8. Mgeni Rasmi, Jaji Aisha Sinda, Kushoto, akimpongeza mwandishi wa kitabu, Marsha Msuya Kilewo
Picha 8. Mkurugenzi Mkuu wa TotalEnergies Tanzania Mamadou Ngum, akimpongeza Mwandishi wa Kitabu Marsha Msuya Kilewo, na mumewe Jordan Fungomali Kilewo,
Picha 9. Mkurugenzi Mkuu wa TotalEnergies Tanzania Mamadou Ngum, katika picha ya pamoja na kitabu na Mwandishi wa Kitabu Marsha Msuya Kilewo, ambaye pia mmoja wa ma boss wa TotalEnergies Tanzania.
Picha 10. Jordan Fungomali Kilewo, akimpongeza mkewe Marsha Msuya Kilewo, kwa kuandika kitabu, akiwa na kitabu chake
Baba Mzazi wa Marsha, Eng. Hillary Msuya, akimpongeza binti yake Marsha Msuya Kilewo, kwa kuandika kitabu, huku akiwa na kitabu chake.
Picha 11. Mwandishi wa kitabu, "The Table Got Bigger" Marsha Msuya Kilewo, akitafakari baada ya uzinduzi
Picha 12. Mwandishi wa kitabu, "The Table Got Bigger" Marsha Msuya Kilewo, akizungumza na mimi huku akionyeshea jinsi meza inavyotanuka na kuwa kubwa.
Paskali
Attachments
-
TheTabbleGotBigger_52.jpg369.7 KB · Views: 2 -
TheTabbleGotBigger_279.jpg321.3 KB · Views: 2 -
TheTabbleGotBigger_291.jpg1 MB · Views: 2 -
TheTabbleGotBigger_301 (1).jpg771.6 KB · Views: 2 -
TheTabbleGotBigger_460.jpg430.1 KB · Views: 2 -
TheTabbleGotBigger_463.jpg325.9 KB · Views: 2 -
Screenshot 2026-10-25 at 14.48.46.png4.3 MB · Views: 2 -
1792944859365.png3.5 MB · Views: 2 -
Press Pack_2.jpg714.6 KB · Views: 2