Live Coverage from Mzenga Old Stand Grounds Mlandizi

Live Coverage from Mzenga Old Stand Grounds Mlandizi

Mzee Victor Kimesera yuko jukwaani sasa,anasema na kukemea kauli aliyoitoa Gwakisa juu ya kutokosoa utendaji wa jeshi la polisi kwa heshima
 
Mzee Kimesera anasema kwamva alisimama jukwaani hapa kwa mara ya kwanza hapa mlandizi mwaka 1992 akiwa na Mzee Mtei,anawaasa wananchi kutokuwa waoga katika kutetea haki zao za msingi,anawataka wananchi kusimama kidete kutetea haki,wasiendelee kukanyagwa tena
 
Na nyie Chadema sasa mnakomoli! Leo Slaa yuko Tunduma (Mbeya); Kigaila yuko Mbeya Mjini anaendesha mafunzo ya makada wa chama; Mnyika, Mdee na makamanda wengine wako Mlandizi (Pwani); Tundu Lissu yuko Iringa; makamanda wengine wanaojulikana na wasiojulikana wamesambaa vijijini nchi nzima - kuanzia Ruaha, Arusha, Lushoto, n.k. CCM wana haki ya "kuelimishwa". Na hapo tunaambiwa mpango mzima ndio kwanza bado; Kanda hazija-take off inavyotakiwa; si itakuwa supper.
 
Anasema viongozi wa Kanda ya Pwani ni mahiri,wapewe ushirikiano katika mbinu zao za kuing'oa ccm
 
Nyomi ya kutosha tu, Marando on the stage! Kamua kamanda.
 
Muwakilishi kutoka K'ndoni anasema,mashina na matawi yanayoendelea kufunguliwa yawe imara,yajenge mbinu za hakika kuiondoa ccm madarakani kuanzia "level" ya familia

Ningependa Iwe Slogan kwa Kanda hii ya Mashariki... kaya kwa kaya mpaka wajue kuwa watu wa pwani ndiyo walioleta uhuru wa nchi hii....
 
Yani cdm hata kama huipendi ila utaifurahia tu kimoyo moyo...
cc ritz,sumu,m23,chilisosi,chamviga,ze marcopolo,nape,mwigulu,tandale one ooops pipoooooz!!
 
Communist! Binafsi naona ndo kwanza ngoma imeanza-viva M4C. ukickia hakuna kulala mpaka kieleweke!!
 
Mabere Nyaucho Marando yuko jukwaani sasa,anaomba radhi kwa pale Gwakisa alipokosea,anaomba Polisi wapewe nafasi yao ya kujirudi pale walipokosea,watende haki kwa watu kwa mujibu wa sheria,anasema jukumu la CDM ni kuleta mabadiliko ya uongozi nchi hii,watanzania wote wa itikadi tofauti wenye uchungu wa nchi hii kuungana kwa pamoja kuleta mabadiliko ya uongozi wa nchi hii
 
Nimeipenda hyo yakumwombea mbunge mtarajiwa GWAKISA
 
Mabere anasema sasa ni muda wa mabadiliko,wananchi wote waungane na kumuondoa muovu CCM,kila mwananchi kwa kura yake moja yatosha kuiondoa ccm,anawaasa wananchi kujiandikisha ili kuwa na uwezo wa kupiga kura,CDM haihitaji mtu yeyote amvaye anaiunga tu mkono lakini hana uwezo wa kupiga kura,wananchi wajiandikishe kupiga kura
 
Mabere Nyaucho Marando yuko jukwaani sasa,anaomba radhi kwa pale Gwakisa alipokosea,anaomba Polisi wapewe nafasi yao ya kujirudi pale walipokosea,watende haki kwa watu kwa mujibu wa sheria,anasema jukumu la CDM ni kuleta mabadiliko ya uongozi nchi hii,watanzania wote wa itikadi tofauti wenye uchungu wa nchi hii kuungana kwa pamoja kuleta mabadiliko ya uongozi wa nchi hii
Duhh, Marando, unanikumbusha mbali, mabomu ya machozi morogoro road na bibititi 1991.
 
Mabere anasema wanasiasa waongo wako CCM,wananchi wawaamini CDM sasa,kama hawatatenda kama wanavyotarajia wananchi basi wananchi wawaondoe,Kikwete na wenzake wameshindwa kuiongoza nchi hii,ccm imeshindwa kudhibiti bei,ndiyo maana kumekuwa na mfumuko wa bei uliokithiri
 
Anasema CCM ingekuwa makini nchi hii isingekuwa masikini,Cuba waliopata uhuru mwaka 1959 sasa hivi wanatupa misaada hadi ya madaktari,rasilimalimali waiyonayo ni kilimo cha miwa tu,sisi hapa pamoha na rasilimali zote nchi ni masikini na wananchi wake ni.masikini wa kutupwa
 
Mabere anasema wanasiasa waongo wako CCM,wananchi wawaamini CDM sasa,kama hawatatenda kama wanavyotarajia wananchi basi wananchi wawaondoe,Kikwete na wenzake wameshindwa kuiongoza nchi hii,ccm imeshindwa kudhibiti bei,ndiyo maana kumekuwa na mfumuko wa bei uliokithiri
Vidonge vichunge!!, eti Nape?
 
Anawaomba wananchi kuipa CDM kuongoza nchi hii ili rasilimali za nchi zitumike kwa manufaa ya wananchi
 
Back
Top Bottom