Cheche Mtungi
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 2,619
- 775
na kapicha basi hata kamoja sio mbaya!
Mkurugenzi wa Mafunzo na Organaizesheni wa Chadema Taifa Singo Bensoni alisema Lengo la Mafunzo hayo ni kuhakikisha wanapata wakufunzi 30606 nchi nzima ambao watatawanyika katika kila kitongoji nchi nzima kwa ajili ya kutoa elimu kwa wananchi na kuunda matawi ya Chama hicho ikiwa ni pamoja na kukifikishama hadi ngazi ya ChiniM4C itapita kila kona,unajua kuna mikutano mingapi ya CDM leo nchi nzima?
Wana JF,
Naomba mniruhusu kuwaletea kinachojiri au yatakayojiri katika viwanja hivi ambapo makamanda wa CDM wana mkutano wa hadhara wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kanda, Mabere Nyaucho Marando
na kapicha basi hata kamoja sio mbaya!
wananchi wa mlandizi
Dedam,good work bro and thanks for the pics,kudos
Mama, baba, mtoto, bibi na babu (MBBBM), NdioMuwakilishi kutoka K'ndoni anasema,mashina na matawi yanayoendelea kufunguliwa yawe imara,yajenge mbinu za hakika kuiondoa ccm madarakani kuanzia "level" ya familia